Mara ya mwisho Ndala alipokuja Mwanza aligongwa 2-0.Mambo yakawa ivo[emoji23][emoji23]View attachment 874106View attachment 874107View attachment 874108View attachment 874110View attachment 874111
mbona hayo maswali hukujiuliza mlipotoa droo na ndanda?Hivi haya yote yanawezekanaje..
1. Kichuya nayemfahamu mimi, ambaye tukiona anaenda kupiga kona, tunaanza kushangilia goli.. Siku hiyo anapata nafasi zaidi ya 7, zote anapaisha kweli? Hapana.
2. Tangu namfahamu beki 'makini na anayetumia akili nyingi sana' Kapombe, sijawahi kuona akifanya uzembe kama ule.. Inakuaje ikatokea Mwanza?
3. Mbao mlimpa mini MK14?? Yeye na kipa, eti anakosa.. kweli?? Hapana.. Sitaki kuamini kabisa.
4. Yule specialist wa shuti goli, Mo Ibrahim siku hiyo kila akikunjuka mpira unawababatiza mibeki ya Mbao. Hii kitu si ya kawaida kabisa.
6. Mpira tumeupiga mwingi sana [nadhani ndo timu iliyopiga mwingi sana mpaka sasa], Inakuaje tumeshindwa kuwafunga?
Achana na hayo.. Mimi sembo 'born town kitambo'... Siku ya mechi nikapoteza simu katika mazingira ya yaliyojaa utata mwingi saaana... Ila kwa msaada wa 'vyombo vya usalama' ndo natoka kuichukua mda huu huku wilayani Magu. Nimeikuta kwa Mganga maarufu sana hapa wilayani.
Nikiripoti toka kwa 'Mganga Wao' hapa wilayani Magu... Ni mimi Sembo wa Simba TV.
Nashukuru umetoka eneo korofi kuhusu suala zima la kufanya vibaya jipangeni tu muda upo. Ila tarehe 30 mkichezea yule Carl Peters wenu safari anayo.
nikwambie ukweli tu viwango vya mpira afrika mashariki ni sawa tu hata mngekaa uturuki mwaka mzima bado mkirudi mtasumbuliwa na hao akina ndanda, hivi unajua ndanda walivyo droo na simba walipewa milioni moja wagawane timu nzima? sasa jifikirie nyie simba hiyo milioni si ndio huwa mnampa kichuya peke yake akifunga goli la konaMkuu, Nagwanda sijaona sikuibiwa simu. Nagwanda sijaona Kapombe hakufanya kosa loloote n.k
Mkuu viwango vingekua vinafanana.. Tungekua tunaona mabingwa tofauti katika ligi yetu.. Mfano Mtibwa, Mbeya City, JKT Ruvu n.k [Ila si Mbao].. Sasa kwann kila siku ni Simba na Azam, na kidogo Ndala? Timu zinatofautiana Mkuu.nikwambie ukweli tu viwango vya mpira afrika mashariki ni sawa tu hata mngekaa uturuki mwaka mzima bado mkirudi mtasumbuliwa na hao akina ndanda, hivi unajua ndanda walivyo droo na simba walipewa milioni moja wagawane timu nzima? sasa jifikirie nyie simba hiyo milioni si ndio huwa mnampa kichuya peke yake akifunga goli la kona
Nashukuru umetoka eneo korofi kuhusu suala zima la kufanya vibaya jipangeni tu muda upo. Ila tarehe 30 mkichezea yule Carl Peters wenu safari anayo.
Hampiti salama,hapo hesabia miaka mingine 5 ya ukame wa ubingwaHizi picha zimenichekesha sana, anyway, Simba tunapitia kipindi kigumu ila tutapita.
Hampiti salama,hapo hesabia miaka mingine 5 ya ukame wa ubingwa
Ndiyo Kilichobaki tu.Mara ya mwisho Ndala alipokuja Mwanza aligongwa 2-0.
Sawa