Hatimae nimeamua kuoa

Je umekubali kuishi nae katika shida na raha, ugonjwa na uzima, hadi kifo kiwatenganishe?

Hiki kiapo ni kikubwa sana...Ndicho kinalaani watu ila watu hawajitambui....Unaapa kisha unakuja kuvunja kiapo ndip tunapobakia katika laana ya uzinzi....

Tumekuwa pamoja katika hali kama hizo kwa muda sasa, tunamuomba MUNGU tuzidi kuweza
 
utafiti, niambie nikupe ushauri uoe kaka, kuzaa mapema raha, muulize watu8 abu babu Asprin...

Hilo nalo neno jingine. Ila ninavyopenda ka umbo ka tumbo la huyu bi dada natamani hata asizae. Ila daah, ndo hivyo tena. After a year or two tunapaswa kuleta binadamu mwenzetu
 
Last edited by a moderator:
Magnificient namaanisha kuwa nitaoa nikiwa kati ya 26-28

ah!! mbona unadanganya,si tumekubaliana ukifika 25 na mimi 22 tunaoana!!.mbona mbali tena na me nshachoka kulala peke angu.(just kiddng..huo umri mzuri,cha muhimu kujipanga).
 
Last edited by a moderator:
unialike napenda kula ubwabwa wa kwenye sherehe....!

Aiyaa yaiya yaiyaaah.... Basi mkuu nakukaribisha uanzie na ubwabwa wangu, ila ndizi ujitegemee. Wananichekesha washkaji wengine uswazi utakuta wanatembea na ndizi kisa kwa fulani kuna ubwabwa
 
Mom Fay
Usiwe na wasi wasi endelea kusubiri hiyo siku. Ndo najipanga ili ikifika tu hiyo 26-28 niwe tayari nimeoana na wewe
 
Last edited by a moderator:
Poa Magnificient bado twajiweka sawa kwa hii miaka 3 ili tukifikisha 27 tuwe na mke ndani
 
Last edited by a moderator:
Loh endelen kusikia diva the ,,,,,,utajengandoayako
 
wivu utakuisha siku ukijua analikusaliti/anakusaliti.
Anaweza kujitoa kwenye mitandao yote hiyo na ukaamini ametulia.. Ila kama ni mwizi ni mwizi tu.
Waza maisha, tafuta pesa, plan kesho itakuwaje siyo kuwaza papuchi.
 
Ombi langu:- thread kama hizi ziwe nyingi nyingi japo ata tatu kwa siku ili wale masingula angalia tupate moyo.
Kila la heri kaka

sema na maplural nao wanakatisha tama na hii michepuko na ndoa kuvunjia ndani ya mwezi
 

Namshukuru Mungu nimeoa nikiwa na miaka 27. Binti wangu wa majaribio nilimpata nikiwa na miaka 20. Wanangu wamekuwa kama marafiki zangu. Mambo yakienda vyema wataanza kazi nikiwa bado niko kazini pia. Mafao yangu ya ustaafu ni kula bata na mama yao na wasaidizi wake mara mojamoja.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…