Hatimae nimeamua kuoa

Karibu kwenye ulimwengu wa wanaolala bila nguo ya ndani.
 
Kila la kheri,Mungu akuongoze awe ni mke sahihi kwako,na wewe uwe mume sahihi kwake.
 

Ahsante sana best, ushatupa pa kuanzia. Nitatumia somo lako kama lilivyo!
 
barua ya posa? au mimi niliishi kabla ya katiba mpya haijaanza jadiliwa? mshenga mpango mzima.
 
Magnificient namaanisha kuwa nitaoa nikiwa kati ya 26-28
 
Last edited by a moderator:
barua ya posa? au mimi niliishi kabla ya katiba mpya haijaanza jadiliwa? mshenga mpango mzima.

Kumbuka mshenga haendi kupiga domo tu, anaenda na ka APPLICATION LETTER kakiwa kameambatana na ka APPLICATION FEES. Haya mambo bwana.... Teh teh teeh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…