Hatimae nimeamua kuoa

Jamani kwani hicho kishika uchumba lazima iwe hela? huwezi kuambatanisha pishi ya kunde au mchele? kwako watu8 nisaidie kwa hilo?

Sina uhakika sana na makabila mengine lakini kwa makabila kadhaa ninayoyafahamu huwa wanakubali kitu chochote chenye thamani au hela.

Mara nyingi kishika uchumba huwa ni zawadi ndogo ambayo mwanaume anaamua kumpa mchumba wake, hivyo zawadi hiyo huweza kuwa ni fedha au mali kama saa, kitambaa, bangili nk

Kuna makabila mengine huwa naona hiki kishika uchumba huchukuliwa na wazazi na binti haambulii chochote...

Na hata kama ikiwa ni fedha basi huwa ni ya thamani ndogo tu haizi hata shilingi elfu hamsini ya Kitanzania...
 
Hhahahhahaha duh hapana usifike huko

Unajua nawaza afu sipati majibu
mi simu ya mupenzi naikagua japo kwenye kukagua kuna mipaka
msg za ndugu zake sifungui, msg za wafanyakazi wenzie sifungui
Naye pia ni hivo hivo, sasa wewe kwani mwenzio akijua una deni shida ipo wapi jameni
hebu niondolee huu utata
 
copy that lol watu8 je wewe mwanamke uwezi kwenda kufunga uchumba kwa mwanaume?just curious,!!!!!
 

Yes, afadhali unakubaliana na mm. Kweli ni mpenzi/mke but kuna vitu flani ivi si vyema kuvijua. Vipo ki-private zaidi. Kwanza simu yangu kila unapofungua unakuta password, sms, setting, gallery, app, kila kona
 
Je umekubali kuishi nae katika shida na raha, ugonjwa na uzima, hadi kifo kiwatenganishe?

Hiki kiapo ni kikubwa sana...Ndicho kinalaani watu ila watu hawajitambui....Unaapa kisha unakuja kuvunja kiapo ndip tunapobakia katika laana ya uzinzi....
 
Yes, afadhali unakubaliana na mm. Kweli ni mpenzi/mke but kuna vitu flani ivi si vyema kuvijua. Vipo ki-private zaidi. Kwanza simu yangu kila unapofungua unakuta password, sms, setting, gallery, app, kila kona
Mmh we hapana kwakweli....
 
Kaka ulikua wapi? Hebu nipe ushauri mzuri kaka maana Evelyn Salt kashanivunja moyo si kidogo

pilika kaka, shule za ukubwani hizi...mwajiri anataka nimpelekee cheti cha fom foo sasa, ananipa na muda wakusoma, pepa wiki na nusu ijayo....
kaka usimsikilize huyo binamu yangu Evelyn Salt, kaka umri mzuri wa kuoa ukiwa mdogo ndio mzuri ukijipanga tu na mwenzio, ukijaaliwa na watoto unakuwa nao mwenyewe, ukitimiza age ya 40 au kabla umeshamaliza kuzaa mna komaa na maisha...
au vipi ukichelewa hadi 40+ ukienda hospital watu wanakushangaa....
 
Last edited by a moderator:

Yes, hapa ndo napatafuta kaka. Na maisha yakoje huko au akili ichemke kama maharage???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…