Hatimae mke wangu kasalimu amri

anayefunga sred huwa ni Asprin, ngoja aje kwanza naye atie neno.

oDM, kuja pande hii uone wanamme bana.
Nimekuja mama....

Kwa mamlaka niliyojipa natangaza rasmi kuwa hii sredi ako klozd...

Najua mwaJ hapendi lakini habari ndio hiyo!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja mama....

Kwa mamlaka niliyojipa natangaza rasmi kuwa hii sredi ako klozd...

Najua mwaJ hapendi lakini habari ndio hiyo!!

Bora uiklozi tu Asprin maana nimejaribu nimeshindwa. Bora Kongosho alivyokuita. Namhurumia jamaa maana watu wamesigina kama yule mwanasiasa aliyesigina katiba.
 
Last edited by a moderator:
Bora uiklozi tu Asprin maana nimejaribu nimeshindwa. Bora Kongosho alivyokuita. Namhurumia jamaa maana watu wamesigina kama yule mwanasiasa aliyesigina katiba.
Mtoto wa kike mpaka saa hizi hujalala? Nlikuwa najiuliza kifafa cha mimba kinasababishwa na nini sasa nimeshajua.

Tahadhari: Tumia kondom mbili kwa usalama kamili. Moja unavaa, nyingine unameza.

Mimi naitwa ODM na staki mtu a-quote hii posti yangu.

Shkamoo mwaJ. Nakupenda sana.
 
Last edited by a moderator:

Ok....sawa kiongozi....!
Ila huyu mwanzisha bandiko anachangamsha tu jukwaa....msimchukulie kiviiiiile.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaaa! Marhaba ODM! Imebidi tu niikwoti posti yako! Mengine nimejibu kwa wimbo mmoja wa Michael Jackson! Lol!
 
Kwa mawazo yako unadhani na wewe umo katika kundi la wajanja?
 
Ok....sawa kiongozi....!
Ila huyu mwanzisha bandiko anachangamsha tu jukwaa....msimchukulie kiviiiiile.
Siyo kiviiiile, ila tu nakutaadharisha. Kaa mbali na mwaJ. First warning!

Ha ha haaaaa! Marhaba ODM! Imebidi tu niikwoti posti yako! Mengine nimejibu kwa wimbo mmoja wa Michael Jackson! Lol!
Oh... Thats my girlie, hebu kam zis wei beibee...
 
Last edited by a moderator:
well said!!!!
 
hiyo ni mzur mwanamke hapigwi kwa fimbo wala maneno bali ni vitendo kama ivo harudiii tenaaaaaaaaaaaaaa
 
Watu wameshakusaidia kutoa hamu pole sana
 
Eti hii amri ya huyu Asprin feki.....si tuisigine tu.....
Orite?
RR asikudanganye mtu! Asprin ni ODM original ana wafuasi kama Julius Malema wa SA! Asipotusoma mwenyewe wafuasi wake watatusoma na kumjulisha. Hapo sasa kelele zake sio za kawaida na hata picha zako ulizozisahau utazikuta jamvini.
 
Last edited by a moderator:
RR asikudanganye mtu! Asprin ni ODM original ana wafuasi kama Julius Malema wa SA! Asipotusoma mwenyewe wafuasi wake watatusoma na kumjulisha. Hapo sasa kelele zake sio za kawaida na hata picha zako ulizozisahau utazikuta jamvini.

Kwani mwaJ unaogopa kelele?? Hebu come here....nikupe siri za sirini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…