Hemed Mzee Hemed
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 186
- 41
Ni Mzee Arfi, ila hawezi kutajwa!... ...Ndiyo maana alikimbilia kujiuzuru na kusema "sitaki nichaguliwe marafiki!"... Alimlinda Pinda na Pinda akamlinda ili wote wapite ubunge bila pressure!...M2 amefahamika?naomba kujuzwa
Hivi CCM imewahi kuwa na wagombea wa nafasi ya uenyekiti?Ccm haiwezi kuwa sawa na wauwaji, wamwagia watu tindikali, walisha sumu na walipua mabomu.mijitu inayobinya demokrasia, inayoogopa uchaguzi. Chadema inaongozwa kwa misingi ya ulaghai uhuni na ubabaishaji
Ndio ufinyu wako wa fikra umeishia hapo?
Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"
Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?
Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
"Kun Faya Kun" ... analolitaka Muumba lazima yatatimia tu! Huu ulikuwa mpango wa mungu kuwaumbua wote wenye kudhulumu haki za watanzania, wote wenye kutumiwa lazima watajiumbua wenyewe...Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"
Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?
Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
Una busara sana mkuu
Una busara sana mkuu
Hivi CCM imewahi kuwa na wagombea wa nafasi ya uenyekiti?
umenena mambo mambo ya msingi sana , maana huwezi ukaomba msamaha wakati bado unaficha makosa mengine, kwa akili ya kawaida ni lazima m2 ajulikane vinginevyo wa cdm tutakuwa na maisha ya hofu kuwa kuna mbwa mwitu katikati ya kondoo
Hivi CCM imewahi kuwa na wagombea wa nafasi ya uenyekiti?
Mkuu, samahani naomba unijuilishe hao (red bolded) ni akina nani? Kwa majina tafadhari maana mie sijawafahamu.Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"
Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?
Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
Una busara sana mkuu
Jibu hoja wewe!Sijui huwa mnawaza au mnaenda baada yakutumwa!Ndio ufinyu wako wa fikra umeishia hapo?