Hatimae joto la Dar lapungua kidogo leo

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Toka alfajiri ya leo kumekuwa na mvua ya hapa na pale kwa baadhi ya maeneo ya Dar hali ambayo inaweza kupelekea kupungua kwa hali ya joto ndani ya jiji hili.

Mvua sio kubwa sana ni za wastani lakini sasa hofu yetu hii mvua ikipiga sana kwa sisi tunaokaa huku madongo poromoka tunaweza tukapata mafuriko. Lakini ngoja iendelee kunyesha walau hili joto lipungue zaidi kama si kutoweka kabisa.

Mwana dar, huko ulipo vipi mvua inapiga ya kiasi gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom