So?Mo kapatikana jamani
Tujiulize Ben sanane mbona yeye hakupatikana.
Tujiulize Ben sanane mbona yeye hakupatikana.
Nakazia mkuuViwonder vya Mo vinakaribia kufungwa, yawezekana mshika dau wake ni mwajiriwa wa Mo na pengine kashapewa barua ya kufungwa kwa viwonder.
Kakaa kachekechaaaaa akaamua kuitafuta namba yako kwenye diary yake siju kwa marafiki zako waliokuwa wanamtongoza anajua mwenyewe alikoipata.
Tabia yake unaijua wewe, ladha yake unaijua wewe, umempenda kwa kiasi gani unajua wewe, hivyo mwenye maamuzi ni wewe.
Kesha jiunganisha na HT, sasa anataka akuunganishe na wewe!!! Kuwa makiniHabarini Za Mchana Wana JF, Hongereni Kwa Majukumu Ya Siku, NIna Mpenzi Tangu Tumeachana imepita Miezi Kama mitano, Mbaya Hatukuachana Vizuri , Tuliachana kwa Maneno Ya Hapa na Pale (kashfa) kiasi Kilichopelekea Aniblock Kuanzia Kwenye Simu na Mitandao Yote ya Kijamii (Social Networks) So Sikua na Taarifa Zake zozote , Nadhani Hata Zangu hakua Nazo, Ingawa Sina Hakika.
Usiku wa Jana nimepumzika Zangu Sina Hili Wala Lile, Simu Inaingia, Kuangalia ni Namba Ngeni, Huwa Sina Utaratibu wa Kupokeaga Namba Ngeni ila Nikajikuta tu Nimepokea, Mara Sauti Ni Ya Kwake, Na Ana Kasauti Kake Unique Hivi, ( Kama Wema Flani Hivi) Akaanza Mara Upo Kimya Sana, Mama anakukumbuka Sana, Mara Kipindi Sipo Na Wewe Marafiki Zako Walikua Wananitongoza, Mwisho Akaniambia kuwa Alibadilisha Kila Kitu, Hadi Namba Za Simu, Na Ile Ndiyo Namba Yake Mpya Anaitumia.
Hadi Sasa ameniachia Maswali Mengi Yasio Na Majibu, Kwa Nini Jana? Nini Kimemfanya Anikumbuke? Kama Alinidelete Kote?
Naomba Kuwasilisha. Muwe Na Jioni Njema Na Na Weekend Njema
Mh! Unamfahamu ?Namfahamu mkuu maana alibadirisha namba kwa kuwa kuna watu walikuwa wanamsumbua ndo alivoniambia na akasema wanaume wengi ni wabahili sana
Lkn anatabia hiyo Mara nyingi lkn si muda mrefu atakuomba fedha uwe nazo tu usiwe bahili
Vizuri saaana yani zaidi yako hahahahahMh! Unamfahamu ?
Amekumbuka alikotoka baada ya alikotegemea kumletea matokeo hasi!Habarini Za Mchana Wana JF, Hongereni Kwa Majukumu Ya Siku, NIna Mpenzi Tangu Tumeachana imepita Miezi Kama mitano, Mbaya Hatukuachana Vizuri , Tuliachana kwa Maneno Ya Hapa na Pale (kashfa) kiasi Kilichopelekea Aniblock Kuanzia Kwenye Simu na Mitandao Yote ya Kijamii (Social Networks) So Sikua na Taarifa Zake zozote , Nadhani Hata Zangu hakua Nazo, Ingawa Sina Hakika.
Usiku wa Jana nimepumzika Zangu Sina Hili Wala Lile, Simu Inaingia, Kuangalia ni Namba Ngeni, Huwa Sina Utaratibu wa Kupokeaga Namba Ngeni ila Nikajikuta tu Nimepokea, Mara Sauti Ni Ya Kwake, Na Ana Kasauti Kake Unique Hivi, ( Kama Wema Flani Hivi) Akaanza Mara Upo Kimya Sana, Mama anakukumbuka Sana, Mara Kipindi Sipo Na Wewe Marafiki Zako Walikua Wananitongoza, Mwisho Akaniambia kuwa Alibadilisha Kila Kitu, Hadi Namba Za Simu, Na Ile Ndiyo Namba Yake Mpya Anaitumia.
Hadi Sasa ameniachia Maswali Mengi Yasio Na Majibu, Kwa Nini Jana? Nini Kimemfanya Anikumbuke? Kama Alinidelete Kote?
Naomba Kuwasilisha. Muwe Na Jioni Njema Na Na Weekend Njema
Mkuu kaa mbali nae kabisa...hapo ni dhahili kuwa jamaa aliyekupokea kijiti amempiga chini na huku alikuwa na matatajio nae mengi..sasa hebu jiulize 1.kama mara ya kwanza ulimpa mapenz na bado akakukimbia sasa safari hii utampa nn ili asikukimbie tena? 2.Hv unahisi bado mtapendan vile vile kama ilivyo before 3.mkuu hebu fikiria jinsi alivyokuacha hlf akaenda kumpa mwanaume mwingne mkopo wa sukari for 5 fuckin months hlf leo hii anakuletea tena makombo hahahahaha....mkuu move on hapo hakuna jipya utakalolifanyaHabarini Za Mchana Wana JF, Hongereni Kwa Majukumu Ya Siku, NIna Mpenzi Tangu Tumeachana imepita Miezi Kama mitano, Mbaya Hatukuachana Vizuri , Tuliachana kwa Maneno Ya Hapa na Pale (kashfa) kiasi Kilichopelekea Aniblock Kuanzia Kwenye Simu na Mitandao Yote ya Kijamii (Social Networks) So Sikua na Taarifa Zake zozote , Nadhani Hata Zangu hakua Nazo, Ingawa Sina Hakika.