HATIMAE JANA aMENIKUMBUKA

Sijawai kuona comment hii ya maana hongera bro [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Sijawai kuona comment ya maana hongera [emoji112][emoji122][emoji122][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Nimekuelewa Mkuu
Unapoamua kufanya maamuzi yanayohusu maisha yako basi wanao kushauri usiwape asilimia 100 kwamba ufanye wanayotaka wao, kumbuka tu kwamba ulizaliwa peke yako na ufakufa kivyako so kama huyo x wako unaona unampenda basi chukua maamuzi sahii
 
Muite ghetto.. Mpige p.umbu sana. Afu mwambie arudi kwao, usisahau kumpa 400 ya nauli
 
Jiulize kwanza nn kilitokea wakati ule na leo nn kimemrudisha, binafsi nadhani anaweza kuja kukupa shida zaidi mbeleni,baki na maisha yako tu,ila akili za kuambiwa changanya na zako
 
Sasa wewe mwanaume kabisa na kengele zako mbili ina kuaje uakua una tabia ya kuto pokea namba ngeni?
 
Nahisi usiku wa jana ulikua usiku mzuri kwa ma X's. kwenye uzi wako mtoa post, kuna message yangu umeniwakilisha.....hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…