HATIMAE JANA aMENIKUMBUKA

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
Habarini Za Mchana Wana JF, Hongereni Kwa Majukumu Ya Siku, NIna Mpenzi Tangu Tumeachana imepita Miezi Kama mitano, Mbaya Hatukuachana Vizuri , Tuliachana kwa Maneno Ya Hapa na Pale (kashfa) kiasi Kilichopelekea Aniblock Kuanzia Kwenye Simu na Mitandao Yote ya Kijamii (Social Networks) So Sikua na Taarifa Zake zozote , Nadhani Hata Zangu hakua Nazo, Ingawa Sina Hakika.
Usiku wa Jana nimepumzika Zangu Sina Hili Wala Lile, Simu Inaingia, Kuangalia ni Namba Ngeni, Huwa Sina Utaratibu wa Kupokeaga Namba Ngeni ila Nikajikuta tu Nimepokea, Mara Sauti Ni Ya Kwake, Na Ana Kasauti Kake Unique Hivi, ( Kama Wema Flani Hivi) Akaanza Mara Upo Kimya Sana, Mama anakukumbuka Sana, Mara Kipindi Sipo Na Wewe Marafiki Zako Walikua Wananitongoza, Mwisho Akaniambia kuwa Alibadilisha Kila Kitu, Hadi Namba Za Simu, Na Ile Ndiyo Namba Yake Mpya Anaitumia.

Hadi Sasa ameniachia Maswali Mengi Yasio Na Majibu, Kwa Nini Jana? Nini Kimemfanya Anikumbuke? Kama Alinidelete Kote?
Naomba Kuwasilisha. Muwe Na Jioni Njema Na Na Weekend Njema
 
Viwonder vya Mo vinakaribia kufungwa, yawezekana mshika dau wake ni mwajiriwa wa Mo na pengine kashapewa barua ya kufungwa kwa viwonder.

Kakaa kachekechaaaaa akaamua kuitafuta namba yako kwenye diary yake siju kwa marafiki zako waliokuwa wanamtongoza anajua mwenyewe alikoipata.

Tabia yake unaijua wewe, ladha yake unaijua wewe, umempenda kwa kiasi gani unajua wewe, hivyo mwenye maamuzi ni wewe.
 
Kuna vitu viwili vinavyo mwongoza mwanaume cha kwanza ni akili alafu cha pili ni hisia ..sasa katika kuamua hilo jambo usitumie hisia Bali tumia akili ...huo ni ushauri wa bure tu .ova
 
Hela imekata anakukumbuka....
Fanya jambo la kishujaa umblock hadi mpesa maana ni upuuzi huu akiwa na shida anakukumbuka
 
Ametapikwa akaamua kurudia matapishi
 
Unapoamua kufanya maamuzi yanayohusu maisha yako basi wanao kushauri usiwape asilimia 100 kwamba ufanye wanayotaka wao, kumbuka tu kwamba ulizaliwa peke yako na ufakufa kivyako so kama huyo x wako unaona unampenda basi chukua maamuzi sahii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…