Hatimae HESLB wamerudisha pesa zangu

Hatimae HESLB wamerudisha pesa zangu

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,760
Reaction score
6,349
Mzigo wangu umerudi baada kukata hadi kupitiliza. Imenichukua takriban miaka 2 pesa ndio imerudi jana. Ajabu wao inarudi bila ya kuwa na Value Retention.

HESLB tengenezeni mfumo ambao mtu akimaliza deni asiendelee kukatwa.

Tupo kwenye mapambano ya kuhakikisha watoto wanasoma bila Mkopo.
 
Nilijaza fomu zao baada ya hapo wakaniambia hazitumiki tena hapo iliishapita zaidi ya miezi 10 then nikajaza online ndio mzigo umeingia sasa dah
Unajazaje Mimi wamenikata mara moja kimakosa mwezi January sijawadai mpaka leo
 
Nimesikia watu wanalalamika kuwa bodi ya mkopo imerudi kuwakata tena wakati walisha maliza kulipa muda sasa
 
Unajazaje Mimi wamenikata mara moja kimakosa mwezi January sijawadai mpaka leo
Ingia kwenye website yao uende kwenye section ya Refund kuna maelekezo kibao. Kuna documents nyingi zinahitajika kama vitambulisho, cheti cha form four, liquidation letter nk.
 
Nimuhimu sana ku claim kwasababu kuna wengine walikatwa kimakosa unaweza kujikuta unadai mfano 600k ukalipwa hadi 4m.
 
Me walirudisha jana,Kama wangepita Leo basi Kesho ningeamka mahakamani
 
Ingia kwenye website yao uende kwenye section ya Refund kuna maelekezo kibao. Kuna documents nyingi zinahitajika kama vitambulisho, cheti cha form four, liquidation letter nk.
Asante sana
 
Mzigo wangu umerudi baada kukata hadi kupitiliza. Imenichukua takriban miaka 2 pesa ndio imerudi jana. Ajabu wao inarudi bila ya kuwa na Value Retention.

HESLB tengenezeni mfumo ambao mtu akimaliza deni asiendelee kukatwa.

Tupo kwenye mapambano ya kuhakikisha watoto wanasoma bila Mkopo.
Bora wewe,wengine ndo tumemaliza mikopo sijui wataendelea kuwakata wapuuzi sana.
 
Fuatilia mpaka upate Barua ya kumaliza (Liquidation Letter) ni rahisi sana ni suala la kwenda ofisini na kuwaeleza.
 
Kwani na nchi za wenzetu mfumo wa kulipa pesa mkopo unalipwa kwa style hii kama yetu ya kuchukuwa pesa zaidi?
 
hii nchi kuna watu wakishapata madaraka wanawaza semina, warsha na mambo ya ajabu ajabu tu ila si kumfikiria anayepaswa kumuhudumia!
 
Back
Top Bottom