voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.