Hatimae DP-WORLD imetuibulia Maaskofu Feki!

Binafsi siungi mkono makataba!!

Ila pumzikeni sasa na hizi nyuzi FAKE zimekuwa nyingi na zisizo na ubora!! Tukafanye kazi sasa tukingoja tamko la Rais 😳😳
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

huo wanaoufanya ndio udini wa kutweza dini za watu, huwezi kufanya impersonification ya kujifanya wewe askofu wakati ni mhuni tuu, huu ndio udini wa hali ya juu, ni kudhalilisha dini za watu. propaganda hizi ni ujinga.

TEC hawajasemea dini yeyeto, hawajakemea dini yeyote, au dhehebu lolote, wametoa waraka wao na wakapeleka kwa waamini wao,
 
Talaaniwa hawa😆😆😆
 
TEC jamaa wapo vizuri sn mambo yao yamekaa kisomi sn
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

Mbona kama wamekusanyana kusanyana toka Tabata tu?
 
Huo ni Uaskofu wa mtu anaamka asubuhi anajipa cheo hicho yeye mwenyewe. Hivyo huwa hauna heshima. Cheo chenye heshima ni kile mtu anachopewa na mamlaka nyingine. Wapuuzwe. Badala ya kuonesha uzuri na au ubaya wa Mkataba wao wanawekeza ktk uchawa wao.
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

Duh...!, ila usiwate ni Maaskofu feki, please, Askofu ni Askofu tuu, kuna Maaskofu wa kupewa daraja la uaskofu, anointed kama Maaskofu wa Katoliki na kuna Maaskofu wa kujipa uaskofu kama hao na wote ni Maaskofu!.

P
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

hayo ni mashetani yaliyozoea kula sadaka za watu, hata hamna haja ya kuwasikiliza.
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

Maakofu gani hao wamepiga vitambaa vya Tetroni😆😆😆
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

Siwezi kumbeza mpakea mafuta wa Bwana.

Nafsi yangu inawiea kuwaweka keenye ssla ya ulinzi maaskofu ws TEC ambao wametimiza utume wao wa kusimamia kweli
 
huo wanaoufanya ndio udini wa kutweza dini za watu, huwezi kufanya impersonification ya kujifanya wewe askofu wakati ni mhuni tuu, huu ndio udini wa hali ya juu, ni kudhalilisha dini za watu. propaganda hizi ni ujinga.

TEC hawajasemea dini yeyeto, hawajakemea dini yeyote, au dhehebu lolote, wametoa waraka wao na wakapeleka kwa waamini wao,
TEC wako sahihi sana, ndio maana milio imekuwa mingi.
 
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZo
Siwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.

Yaani hawa Matapeli wanataka kujifananisha na Katoliki..... What a joke!!
 
Back
Top Bottom