Hatimae dogo kaanza chuo

zeus47

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
233
304
Wakuu niaje?

Hatimae dogo anaanza chuo UDSM mwaka huu. Amekomaa tumpangishe survey kwa vile marafiki zake nao wamepata huko pia, je kuna usalama kweli? Au ndo mwanzo wa kumpoteza kabisa kwenye radar ya ulokole wetu (Dogo ni wa kiume)
 
Dogo mmemlea vipi? Mfano, akikutana na vishawishi vya mambo mabaya mmemjenga kuwa na uthabiti wa kujikinga na kuwasiliana nanyi vizuri?

Hapo Survey mmepachunguza vizuri kwa wanafunzi wengine waliopo hapo wanaishi vipi?

Gharama za ziada zitakuwaje kulinganisha na kukaa nyumbani? Mnaweza kuzimudu?

Faida za kukaa hapo Survey, kama kuwa karibu na chuo na kuweza kusoma na wenzake mmezifikiria?

Mmefikiria dogo anahitaji kuanza kujiandaa kuingia kwenye maisha ya kuishi peke yake bila kuwa karibu sana na wazazi?
 
Survey ndio mtaa uliopo jirani na UDSM wanafunzi ni wengi sana aendelee na ulokole wake huo mtaa wanafunzi wamefanya pamekuwa kwa kihuni kama soweto tegemea dogo kuwa mteja mzuri wa KARABASHI BAR ndio baa yao wana UDSM wikend kuanzia ijumaa hadi kuamikia jumatatu alfajiri na kwa mchango wao jirani na karabashi kuelekea mwenge kuna bar mpya inatikisa ile mbaya wanafunzi huwaambii kitu dogo akafate kilichompeleka.
 
Dah kweli kazi anayo. Kuna mtu kaniambia kule pisi kali zipo kama zote. Nimemsihi sana asiwe na tamaa za kimwili. Ila kwa story zako mkuu sijui kama atatoboa
 
Hawa madogo wanasumbua sana kisa marafiki,utadhani hata kwente maisha watakuwa wote...
 
Dah kweli kazi anayo. Kuna mtu kaniambia kule pisi kali zipo kama zote. Nimemsihi sana asiwe na tamaa za kimwili. Ila kwa story zako mkuu sijui kama atatoboa
Yeye ni mtu mzima kwa hiyo atajikontrol mwenyewe.
 
Wakuu niaje?

Hatimae dogo anaanza chuo UDSM mwaka huu. Amekomaa tumpangishe survey kwa vile marafiki zake nao wamepata huko pia, je kuna usalama kweli? Au ndo mwanzo wa kumpoteza kabisa kwenye radar ya ulokole wetu (Dogo ni wa kiume)
Kuna uhitaj gan wa kukaa survey wakat hostel zipo. Hiyo hela ya nauli kwenda chuo kila siku si bora mpelekee watoot yatima. Labda pia kuna kitu behind
 
Watoto wanaochungwa sana na kuwekewa masharti lazima waharibikiwe. Kuwa moderate acha kuwa mzazi mnoko. Hapo survey panamfaa sana...ndo ulokole wake utaonekana kama ni kweli au unafiki tu kama wengi wao
 
Ile sera ya mwaka wa kwanza kupata hostel za chuo kwani iliisha? Kama bado ipo ni vyema kuanzia hostel za chuo na baadae mwaka unaofata mnaweza kumpangishia mtaani.
 
Survey ndio mtaa uliopo jirani na UDSM wanafunzi ni wengi sana aendelee na ulokole wake huo mtaa wanafunzi wamefanya pamekuwa kwa kihuni kama soweto tegemea dogo kuwa mteja mzuri wa KARABASHI BAR ndio baa yao wana UDSM wikend kuanzia ijumaa hadi kuamikia jumatatu alfajiri na kwa mchango wao jirani na karabashi kuelekea mwenge kuna bar mpya inatikisa ile mbaya wanafunzi huwaambii kitu dogo akafate kilichompeleka.
Na uzee huu kuna siku nilipita pale 5N opposite Miimani city...dah...nikaogopa sana niliyoyaona...nikabonyea nikapiga vyombo nikala nikasepa...nilishindwa hata kuokota kademu manake viduchu sana
 
Wakuu niaje?

Hatimae dogo anaanza chuo UDSM mwaka huu. Amekomaa tumpangishe survey kwa vile marafiki zake nao wamepata huko pia, je kuna usalama kweli? Au ndo mwanzo wa kumpoteza kabisa kwenye radar ya ulokole wetu (Dogo ni wa kiume)
Aache mbwembwe akae hostel kwa mazingira tulivu ya kusoma, hasa usiku na urahisi wa kufika madarasani..

Ambia kijana kuna Discontinuation ambayo haitajali yuko na marafiki zake ama la, isipokuwa hiyo inatambua kila mtu ameingia peke yake kupambania roho yake.
Halafu ambia tena kijana sasa hivi vyuo vinamwaga wahitimu wengi mtaani, hivyo kupata GPA nzuri ni swala la kipaumbele ili atleast imuweke kwenye nafasi nzuri ya ushindani.. huwa haipatikani kwa kuwa waruwaru na kushinikiza kukaa kwenye mazingira yenye ushawishi wa kujihusisha na mambo mengine nje ya masomo..
 
Wakuu niaje?

Hatimae dogo anaanza chuo UDSM mwaka huu. Amekomaa tumpangishe survey kwa vile marafiki zake nao wamepata huko pia, je kuna usalama kweli? Au ndo mwanzo wa kumpoteza kabisa kwenye radar ya ulokole wetu (Dogo ni wa kiume)
Savei km anamudu ni sawa km anataka cheap room achek ubungo kibangu,rivaside,
 
Back
Top Bottom