Hatimae Amerudi

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,507
2,000
Niliwahi Kuomba Ushauri Hapa Kuhusu Mpenz Wangu Aliyevaaga Suruali Ya Kubana TIBA YA KUTOPENDA, Nikamtimua Lakin Baadaye Nikajihis Kumkosa Ila Sikuweza Kumwambia Kwa Sababu Mimi Ndiye Nilimtimua!
Baada Ya Kukosa Msaada Wa Mawazo Ya Ndumba, Nikafunga Na Kuomba Mungu Amrudishe, Heheheh...Eti Leo Kanipigia Na Kusema Kanimisi Kama Vp Turudishe Majeshi
Na Hajawa Na Yeyote Toka Tumeachana (Nami Vivyo Hivyo!)
Ndiye Yule Wa BIKRA IMENIFUNGA MWENZENU
Jaman Mungu Mkubwa Daima,Ila Tuombeane Ili Nipate Pesa, Nimuoe Huyu Binti!
Ahsanteni Na Mbarikiwe Kwa Wapenzi Wenu Na Ndoa Zenu!
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,025
1,500
he he he, kweli ulikuwa umetingwa.

Umekubali haraka kuliko harage la Mbeya.
Ila, weka sheria zako wazi kabisa, kama mnarudiana ajue do's na dont's zako na wewe pia ujue zake.

Ila, usituhakikishie hajawa na mtu mwingine tangu akuache, watu wazima wanayaelewa hata mambo.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,130
2,000
hizi baby come back bwana ndio zinaharibugi ata ndoa....mtu kashaoa/kuolewa anaenda kwa ex eti nimekumiso.
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,507
2,000
he he he, kweli ulikuwa umetingwa.

Umekubali haraka kuliko harage la Mbeya.
Ila, weka sheria zako wazi kabisa, kama mnarudiana ajue do's na dont's zako na wewe pia ujue zake.

Ila, usituhakikishie hajawa na mtu mwingine tangu akuache, watu wazima wanayaelewa hata mambo.

Hehehe..Ulinishauri NIMBAKE!!
 
Nimemwambia Atafakari Chanzo Cha Mimi Nae Kuachana!
Hivyo Anisikilize Mimi Mwanaume Wake!
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,837
2,000
Ha ha ha ha kijana umenifurahisha sana, hongera kwa kurudisha uhusiano hakikisha makosa ulofanya hayajirudii tena na am sure umejifunza kutokana na makosa.
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,507
2,000
Ha ha ha ha kijana umenifurahisha sana, hongera kwa kurudisha uhusiano hakikisha makosa ulofanya hayajirudii tena na am sure umejifunza kutokana na makosa.

Yaani Ari Ilikuwa Mbaya, Ata Nimuone Demu Mkali Zaidi Ya Amber Rose!
Lakini Ninamchambua Na Kujiona Nimejikosesha Raha Ya Maisha Kuachana Na Mpenzi Wangu Mkali Kuzid Yeye!
Ahsante Mkuu, Sitafanya Mchezo Na Furaha Yangu!
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,507
2,000
Suruali za kubana RUKHSA au bado UNANUNA Mkuu!? Good luck and all the best.

Mkuu Sasa Nimeshausoma Mchezo, Itikad Zingine Haisaidii Kitu Ktk Mahusiano...Nina Mpango Wa Kumzawaidia Jozi Za Suruali Hizo Za Kubana!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom