Sijui tuorganise yale ya Egypt? Pita ofisi za uhasibu za wilaya na mikoa ujionee!kuna wahasibu std8 na form4 wakati mwaka jana udsm,ifm,tia, iaa,saut zooote zimetoa wahasibu ila mpaka leo wako dsm na bahasha wanazungukia maofisi kama wakaguzi wa kujitegemea! Sasa mkisema tunaanza kuibiana ajira,hapa vita yaanza! Mi nkiona mgeni ofsini ntampokea mi ili nimuulize 'tukusaidie nini'? Akijib namtaka Hr namwambia hayupo,nipo mi!