inayo kaka hakuna coz ambayo haina ajira ishu ni kuwa perculier au uwe na mtu wa kukuunganishia mchongo....Haina ajira
Nmeulizwa hatma ya kusoma Community Development sijapata jibu. Naomba msaada wenu.
Ina ajira na ajira zake nyng ngazi ya cheti na diploma zipo chn ya halmashaurHadi uonganishiwe sasa