Hati ya Mashtaka toka Branch Tanzania

Hati ya Mashtaka toka Branch Tanzania

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,409
Reaction score
8,812
Nimepokea ujumbe ufuatao toka namba

+255753657743

HATI YA MASHTAKA-KANDA MAALUMU
Tumepokea mashtaka(KIT/CRB2022/NO4783TZ23)toka BRANCH bado hujakamilisha malipo,Kifungu cha 44(1') sheria ya mwenendo wa mashauri ya madai kitatumika. JUKUMU LAO LA KUKUTAHADHARISHA NA KUKUMBUSHWA KUHUSU DENI UNALODAIWA WAMELITIMIZA IPASAVYO hatutakupa nafasi ya kujitetea pindi WITO utakapokufikia kufikishwa KIZIMBANI kukabiliana na tuhuma za uhalifu mtandaoni. LIPA LEO.

SAGENTI- KAISI MWAMBOPA

Hitimisho: Mtu mzima hatishiwi nyau.
 
Nimependa hapo mwisho ati mtu mzima hatishiwi nyau, dah sema nini boss deni halifungi kubali kulipa hata mia kila mwisho wa mwezi , sheria haikatai[emoji16][emoji3][emoji1787].

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza ukaona sifa ukajisifia ila Jitathimini ndugu, utapeli sio mzuri
Hao jamaa wanasaidia sana ni hvyo kujitokujitambua wanaona km sifa kutolipa madeni Mimi nnajitahidi sn kulipa na kuna kipindi nimeenda mkoani nimekwama nauli kuingia tu branch kugusa tu nikarushiwa elf 75 fasta nikachukua gari nikarudi zangu bongo nikaja nikawalipa pesa yao na walianza kunikopesha elf 5 ikifika muda nnalipa inaongezeka
 
Yes wana msaada sana wakati wa dharura ila changamoto ni kwa wezi na matapeli kama hawa tena mtu anaona sifa kutangaza katapeli
 
Back
Top Bottom