Haters gonna hate...

Kivipi? Hebu fafanua mkuu.
Ngoja nikufafanulie nifah. Macdonald ni kampuni ya kimarekani, inayojishughulisha na uuzaji wa vyakula eg snacks za humburger na vingine vya kutafuna kama hivyo. Kampuni ina matawi duniani kote.Watu wanabugia kwa wingi hizo snacks na matokeo ni hayo maumbo ya kuviringana kama ya huyo mama.Ndo maana nikasema kwa utani kwamba ipo haja ya kuishtaki hii kampuni.
Bila shaka sasa umenisoma nifah au siyo?
 
Last edited by a moderator:

Asante, nimekusoma vyema kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…