M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 10, 2014 #2 Mkuu vitoto vya kihabishi hivi vingekuwa uswahilini basi zamani vingeshachapwa vijikofi na kuporwa hivo vitoi vya kigari na vijibaka na kwenda kuvipiga bei ya kutupa ili mradi wapate unga wa kunusa tuu
Mkuu vitoto vya kihabishi hivi vingekuwa uswahilini basi zamani vingeshachapwa vijikofi na kuporwa hivo vitoi vya kigari na vijibaka na kwenda kuvipiga bei ya kutupa ili mradi wapate unga wa kunusa tuu
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 10, 2014 #3 Hahahaha, dunia ina mambo sana