Hatari ya kunywa soda

Mara ya mwisho kunywa soda Sijui ni lini..
 
Ndio vitu vinavyodrive economy of the world...
Kufa ni sehemu ya maisha cause ukiyachunguza maisha hauwezi kupata maana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi hakuna maana yoyote cause kuna ambao wanakufa hata kabla hawajaiona dunia, kwani wapo wanaokufa kwa umri wowote unaojua wewe kati ya 0 hadi uzee.
Kama kuishi ingekuwa ni lazima basi wote tungekuwa tunakufa kwa umri mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nmecheka kwa dharauu haha huhu hihiii heheee uuuuu loooooohhh
 
Kila nafsi itaonja umauti bhana unywe soda usinywe utakufa tu ,hata kwa kuliwa na mamba
 
Hakuna kitu salama hapa duniani. Hata maji ukinywa mengi ni kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…