Hatari ya kunywa soda

Hatari ya kunywa soda

Joined
Jul 9, 2017
Posts
27
Reaction score
3
Unywaji wa soda ina hatari nyingi kwa afya.


Je, kwa nini, we as responsible Tanzanians allow this poisonous liquid to be advertised and consumed so freely?

Tafadhali toa maoni yako.
 
Kwa nini soda inayotolewa mfano kea kila anaezungumzia uhatari wa soda ni cocacola? Soda nyingine vipi?

et al
 
Msisimko na Cocacola...unakulaje zege bila soda?
Sigara zenyewe zinaua na bado matangazo yenye mabango yametapakaa.
 
akili zinawaza ujima( uzamani) lakini dunia inaendelea ( teknolojia) hata ukitaka supu ya majani ya maboga lazima uende kununua mbegu duka la kilimo na mifugo ( zilizowekewa kemikali tayari) na utamwagilia maji ya sumu, na utaspray viuadudu vya sumu, na utachuma kwenda kula ( sumu) so wait to die, no one gonna help you, this is a profit maximization world, they dont care of your health but money first!!

Ngw'ana Kabula
 
Back
Top Bottom