Jimbo la Kawe yeyote anaweza akashinda hali sio nzuri kwa Mdee kwani hakufanya la maana jimboni na CCM wana mgombea strong (Kippi Warioba)
Majimbo ya Ilala,Kigamboni,Ukonga na Temeke hayo yanarudi CCM,Chadema wana uhakika majimbo ya Kibamba na Ubungo while Kawe,Segerea hayo ni 50/50.Sina uhakika na Mbagala,Kinondoni
Ukawa wahakikishe wanaondoka Na majimbo zaidi ya 150. Iwe mijini au vijijini!
tuwe makini wapiga kura ni wanawake!
mzee wa maandamano ya magumashi ni mwepesi kuliko pamba .
wakazi wa ilala sio machinga, ni watumishi wa serikali na wafanyabiashara wa kiasia. wote ni waasia, watachagua wa kumpa
kipi warioba hana ubavu...mdee alimshinda mgombea wa ccm pamoja na mbatia atakua huyo kipi???
Hiyo ilikuwa 2010 then Mbatia hana influence yeyote kwenye siasa za hapa Dar.Mdee ana challenge kubwa hakuna alichofanya jimboni, na 2010 Mdee hakugombea na Kippi
Ccm haina uwezo was kushinda temeke kigambon wala kinondoni.
Sababu ni kuwa tukichukulia kama uchaguzi was 2010kana ndo kigezo ,majimbo tote hayo ccm ilishindwa na chadema na cut ukijumlisha kura zao. Sasa HV wameunganisha nguvu so ushind ni mteremko tu hapo
Mie ninachokiona ni kuwa mbunge wa chadema atakayepata jimbo anaweza akawa mnyika tu kwa kuwa kasogezwa kwa wachaga wenzie.
Acha uongo.
Siasa ya Tanzania haiendi hivyo mtu kushinda jimbo inategemea na mambo yafuatayo
Moja -Performance ya mbunge aliyepita
Mbili-Ushawishi wa wagombea kwenye hilo jimbo
Wabunge wa Dsm waliofanya vizuri kwenye majimbo yao namba moja ni Mtemvu (watu wa Temeke wanafahamu) na jimbo limegawanywa wapinzani(CUF) kura nyingi zilikuwa Mbagala
2.Zungu ana influence sana Ilala na kumbuka wapiga kura wengi wa Ilala ni Waasia (wahindi) ni wapiga kura wazuri wa CCM mgombea wa upinzani hana ushawishi kwa wananchi
3.Jimbo ambalo wapinzani wangeweza kuchukua ni Kinondoni ,Azan hajafanya la maana na scandal za kuuza unga but wapinzani hawana mgombea wa kueleweka so usishangae Azan anarudi bungeni
Kwa mimi ninavyoona Ilala, kigamboni, kinondoni, Ukonga na Temeke itayachukua CCM..., Ubungo, Segerea, kibamba, mbagala na kawe yanakwenda Ukawa