Hatari,Vodacom M-PESA si salama

kwel kunawatu mabingwa wa kuunda title za Nyuzi,
haya umefanikiwa kupatd Visitors
 

acha uvvu kuna namba ukpga wanakurudshia pesa yako
 
Uwe unahifadhi hela yako benki ukiona vipi.
 
Tigo ndo mpango mzima utaratibu wao mzuri sana kwenye ishu kama hizi....
 
Huo ni uzembe wako wewe mwenyewe...mbona voda hawana sifa hiyo acha kuwachafua.
 
Na siku ukilewa ukalala choooni badala ya chumbani kwako uje uwalaumu vodacom hapa

katika maswala yanayohusu transactions hasa za pesa likely kutokea human error, sasa lazima na kuwe na njia ya kuminimize matatizo kama haya. m-pesa kuna wakati wanaalert kuwa unapeleka pesa kwa... jina la muhusika, lakini wakati mwingine inapokupa option ya 1 or 2 haileti jina, kwa hiyo hapo ni try and error, unaweza kutuma ukakuta jina ni sahihi au umekosea one letter na kukupelekea kuingia kwenye shida. m-pesa katika hilo wajitahidi kufix ili kuepusha hasara na kupoteza muda kama hivi. mtu yeyote anaweza akakosea wakati wowote
 

uko sawa. ishawahi kula kwangu pia.
 

ni sawa mno! huwa wanaoinitumia pesa mimi, namba huwa sawa jina sasa sijawahi hata kulisikia.
 

nilifata hizo procedure zote lakini bado cheche. reference namba hadi leo ninayo.
 

Kukosea ukosee wewe, lawama uwatupie Vodacom? Mbona Majaaanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…