Hatari!ungekua wewe ungechagua yupi atoe uhai wako?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,609
17933960_128512007690729_5238674230584803328_n.jpg
 
Suluhu hapo ni maji penye kina kirefu maana mamba hawezi kukukanata kwa kina kirefu
 
Hapo unakumbuka hata ile mistari ya Bible ambayo hukuwahi kuisoma ila uliisikia kwenye mahubiri ya mchungaji.
 
ningempiga nyoka kibao kimojaa heavy mpaka aongee kiswahili fasaha mie nitoke salama then nakata tawi namshukia simba mbona angeimbaa
 
Back
Top Bottom