Hatari Sana.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
IMG-20181001-WA0005.jpg
 
Hii picha sijaielewa ,kwamba jamaa kaopoa manzi mkali au ndio fiesta
 
Mwanamke anayejielewa halewi mpaka kukata netwok
Tatizo yeye hajui kama atalewa sana.
Pia wengine hunywa akifikiria anamkomoa mlipa bill kumbe anajikomoa zaidi mwenyewe.

Sasa check alivyo mateka mikononi mwa njemba hiyo! Tena usikute yapo hata 2.

Sasa hapo ni kama ng'ombe aliyeangukia nyumbani kwa muuza bucha.
 
Hahahahah, ni hatari san kiongozi.
 
Back
Top Bottom