Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

NACHUKIA SNA KUCHINJA MNYAMA KISA NYAMA YAKE IWE MSOSI KWAKO.NAONA KM UKATILI MKUBWA.nina tabia yakutokula nyama km nikiona mnyama anachnjwa mbele yangu.mungu anisaidie kuacha kula nyama
Lkn ukiambiwa kugegedana safi!

Waafrika tunajijua wenyewe
 
Jumatatu itakuwa siku yangu ya kuzaliwa kuna ndafu itachomwa kujipongeza kuacha nyama na kuongeza muda mwingne wakuishi
 
...Babu yangu ana gonga miaka 94, sasa. Na bado ana nguvu za kutosha. Moja ya factor ya siri ya mafanikio yake ni nyama za porini, mihogo mibichi, matumizi ya karanga au alizeti katika mböga na asali. Anasema walikula nyama zaidi kuliko chakula chochote, hii ilinipa nguvu na mie kuanza ku-adopt, sasa kama umesema nyama ni tatizo umeniogopesha. Nitakula kisavamvu na majani ya kunde nitaweza? Ofcoarse, ni elimu nzuri inayotafarikisha, tatizo dunia imebadilika sana. Ukikoswa kwenye nyama utabambwa kwenye vilevi, hewa, vyakula vya viwandani, n.k. Mashine zinazokoboa mathalani, nafaka zetu, huwa vyuma pia vinasagika au kijiko cha chuma kinaisha, zile chembe twazila pia. Tunaishi kwenye dunia feki, na hatuwezi kimbia teknolojia. Na teknolojia ndio baba la magonjwa. Ni kweli 'tu- neutrize', nyama kumen'genywa haraka kwa kumeza punje ya kitunguu swaumu,baada ya kuila. Ni solution kwa mie bush dokta wa kujivika.
 
Damu ni uhai mkuu! Thamani ya damu haiwezi kulinganishwa na chochote mkuu.
 
Mzee kwakwel kuacha ni ngumu, ukikuta kitu cha kuchomwa na chumvi pembeni[emoji52] hapana kwakweli
 
Dagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?

Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....

Siku zote vitu vitamu vina madhara.
Ameshindwa kuwa specific ila nyana yenye madhara ni red meat mkuu na sio nyenginezo.
 
Haya asante kwa taarifa.

Ila nyama tamu sana.
 
Brother, naomba urejee vema notes zako kwenye madaftari yako ya O-level somo la biology kisha nenda katika topic inayozungumzia ini ujielimishe kwanza kabla haujaja hapa.....


ini halina majukumu ya kutoa insulin labda ini lako tu ndio limeanza hiyo kazi.......kutoa insulin ni kazi ya kongosho na si ini.....
 
Elimu nzuri Sana hi. Though huwa nakula kwa kubipu bipu tu. Mara moja kwa mwezi
 
Hizo statistic tunaomba refference mkuu.
 
Umeharibu ulipoanza kuponda ma MD. Huna sayansi yoyote ya kumzidi daktari. Ulikua na uwezo wa kutoa mada yako bila kuponda madaktari na ukaeleweka vizuri. Nani kakwambia hilo somo halipo medical school?, mara moja moja tuwe tunaheshimu proffessions za watu.
Eti proteins ni kwa ajili ya nywele na kucha tu, vipi kuhusu hormones na enzymes? Au hazina umuhimu mwilini?
 
Acha kuongopea watu wewe, hizo mboga za majani zenyewe unajua athari zilizo nazo? Nyama wamekula babu na bibi zetu kitambo na katika familia za kifugaji ilikuwa ndio mboga ya kila siku. Tatizo linalokuja kuharibu hiyo nyama unayoipiga vita, ni namna gani unaipika. Unachanganya na viungo gani.
Mwisho wa siku wewe tumia unachokitaka as long as huvunji sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…