Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Umesema ukweli. Wazefu watasema kuna watu wanakula nyama kupitiliza hadi mbichi lakini wanaishi hadi miaka mia.
Sigara hivohivo. Lakini usijali hii haiifanyi nyama isiwe hatari au sigara isiwe hatari.
 
Dagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?

Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....

Siku zote vitu vitamu vina madhara.
Du! wacha nile mwaka huu na mwakani ikifika 2020 nyama nyamani tupa kule ni mboga mboga, matunda, majani mabichi,korosho kwa wingi na maji tele nataka life span yangu iongezeke ikiwezekana miaka 200.
 
Huo ni mtazamo wako, nyama ingekua hatari kiasi hicho wahadzabe na wamasai wangeisha kitambo tu, by the way uchambuzi wako hauna tafiti za kitaalamu
Uko sahihi mkuu. Mwanzisha mada amejenga hoja pasipokuwa na ushahudi. Lakini upo ushahidi wa wayama walao nyama na wapo vizuri na ni mashujaa huko porini. Wapo binadamu wanaokula nyama sana kuliko makabila mengine (Mf. Maasai) mbona hawa sio kielelezo cha hoja yake? Wanashambuliwa sana na magonjwa? Wanaishi maisha mafupi? Kinyume chake kuleni nyama kwa afya bora.
 
Nacheka hyo style ya kujiangalia asbh kwenye kioo kama yangu wkt usiku umeshindilia kiti fire...si utakua muujiza huo
Hahahaa halafu ukijiangalia kwa haraka haraka unajiona kama mange kimambi vilee ...kumbeee...wooiiiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Yan we jamaa hakuna sehemu yeyote uliyoonesha labda ulifanya utafiti wa kisayansi ulichokifanya ni kutoa maoni yako binafsi kuhusu madhara ya nyama wewe endelea kula hizo mboga na sisi tutaendeleza mapenzi yetu kwa nyama mpaka pale kifo kitakapotutenganisha
 
Umesema ukweli. Wazefu watasema kuna watu wanakula nyama kupitiliza hadi mbichi lakini wanaishi hadi miaka mia.
Sigara hivohivo. Lakini usijali hii haiifanyi nyama isiwe hatari au sigara isiwe hatari.
Hivi sigara nayo ni chakula???? Mie naamini wanga ni hatari kuliko nyama. Kula nyama nyingi na wanga kidogo kwa afya yako.
 
story tu hizo, cancer ina vyanzo vingi sio lazima nyama! Midawa ya mda mrefu kama ARV ndio huleta Cancer
 
Hivi sigara nayo ni chakula???? Mie naamini wanga ni hatari kuliko nyama. Kula nyama nyingi na wanga kidogo kwa afya yako.
Haswaa, umri ukishasogea ni bora ukajibidiisha kula nyama na mboga za majani kwa wingi huku ukishushia na matunda na wanga kwa mbali sana! Asee sukari inatesaaa
 
Hii ni mpya!! Nyama ina-play 70% ya victim wa cancer!? How!? Kwa sehemu nakubali namna mleta mada alivyojaribu kuelezea metabolism ya nyama but napo kuna exaggeration nyingi.
The leading causes of cancer sub-saharan Africa: kwa wanawake ni cervical and breast cancers. Kwa wanaume Prostate cancer and Hepatocellular carcinoma (Liver cancer).. And others.
Ukiangalia causes za cancer hakuna sehemu utaambiwa kula nyama kunaleta cancer.. na pia ni ngumu kuelicit cause moja kwa moja..
Zaidi utaambiwa kuna risks kadhaa kutegemeana na aina za cancer.. Eg Age, ethnicity, family history, exposure to human pappiloma virus (transmitted through sexual contact), liver viruses transmitted through sexual contact (hepatitis), immunosuppression, cigarrete smoking (lung cancer), exposure to radiations, industrial chemicals eg lead etc.. And remember toka exposure inatokea hadi mtu anapata cancer it takes many many yrs cz cells has to undergo transformations.

Nyama ofcz we have to limit its intake just like alcohol na vitu vingine cz route yake ya metabolism.. kama mtu yupo tayari kuwa vegetarian its okay; japo kwenye balanced diet kila aina ya chakula ina kazi yake.
 
Huyu jamaa hata biblia haijui vizuri alafu eti huu alioleta ndio uchambuzi wa kiroho kuhusu kula nyama?

Mkuu kaa tulia soma vizuri biblia kisha uje tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…