Hatari niliyoiona mlima Iwambi - Mbalizi MBEYA

Tuwekeeni hata picha basi tufanye utalii wa ndani kwa picha.
@Chaliifrancisco View attachment 1880063View attachment 1880064
images%20(4).jpg
 
Kwa ambao wamebahatika kupita barabara hii ya Dar - Tunduma, ukitoka Mbeya kama unaelekea Mji mdogo wa Mbalizi kuna mahala huitwa IWAMBI.

Hapa unakutana na mteremko mkali sana ambao unashuka nao hadi mjini Mbalizi.

Ajali zimekuwa nyingi hususan kufeli breki kwa magari makubwa, kuacha njia na kuingia korongoni, ajali za kugongana uso kwa uso n.k.

Mamlaka zimeliona hilo na kulidhibiti katika mtindo huu ;-

Kwamba kwa sasa magari makubwa (ya mizigo) na mabasi madogo (daladala) hupeana zamu kupita eneo hilo kupanda na kushuka.

Yaani kuna muda yanaruhusiwa magari makubwa tu, na kuna muda huruhusiwa dala dala.

SHARAUTI sana kwa mamlaka husika.

ILA

Mtihani upo kwa madereva hawa wa daladala. Yaani muda wa kuruhusiwa kwao ukifika inakuwa ni fujo + wenge kiasi kwamba panaweza kusababishwa ajali nyingine baina yao wenyewe ama hata kwa watembea kwa miguu hasa wanaovuka vivukoni.

Yaani lile suala la kuachiwa kila mtu anataka kuwa wa kwanza kuwahi abiria kituo cha mbele, basi inakuwa tafarani.

Naiomba mamlaka nayo iliangalie hili, ingawa unaweza kuona ni la kawaida, ila madhara yanaweza kutokea hapo mbeleni.

Na huu ndio mwisho wa taarifa ya habari kutoka KASUMBA FM.
Juzi waziri wenu mkuu alikuja huku akaangalia pale pia aliongelea suala la ile barabara ya mchepuko iliyo telekezwa, akasema wataiboresha ili magari makubwa yawe yanapita huko, kwangu mi naona haita saidia chochote maana hapo wanafanya kuokoa magari makubwa na sio uhai wa raia, chukulia mfano wa ajali iliyotokea juzi, ziligongana kosta mbili hakuna gari kubwa yyte iliyo husika.

My take. Ile barabara ya mchepuko inayopita seminar inatakiwa itumike na daladala sio malori
 
NENO
 
Kwa ambao wamebahatika kupita barabara hii ya Dar - Tunduma, ukitoka Mbeya kama unaelekea Mji mdogo wa Mbalizi kuna mahala huitwa IWAMBI.

Hapa unakutana na mteremko mkali sana ambao unashuka nao hadi mjini Mbalizi.

Ajali zimekuwa nyingi hususan kufeli breki kwa magari makubwa, kuacha njia na kuingia korongoni, ajali za kugongana uso kwa uso n.k.

Mamlaka zimeliona hilo na kulidhibiti katika mtindo huu ;-

Kwamba kwa sasa magari makubwa (ya mizigo) na mabasi madogo (daladala) hupeana zamu kupita eneo hilo kupanda na kushuka.

Yaani kuna muda yanaruhusiwa magari makubwa tu, na kuna muda huruhusiwa dala dala.

SHARAUTI sana kwa mamlaka husika.

ILA

Mtihani upo kwa madereva hawa wa daladala. Yaani muda wa kuruhusiwa kwao ukifika inakuwa ni fujo + wenge kiasi kwamba panaweza kusababishwa ajali nyingine baina yao wenyewe ama hata kwa watembea kwa miguu hasa wanaovuka vivukoni.

Yaani lile suala la kuachiwa kila mtu anataka kuwa wa kwanza kuwahi abiria kituo cha mbele, basi inakuwa tafarani.

Naiomba mamlaka nayo iliangalie hili, ingawa unaweza kuona ni la kawaida, ila madhara yanaweza kutokea hapo mbeleni.

Na huu ndio mwisho wa taarifa ya habari kutoka KASUMBA FM.
Uliondoka Mbeya kitambo kidogo mkuu karibu kukaya hii ilianza tangu 2017 mwishoni
 
Nalielewa eneo vizuri, pamoja na eneo hilo kuna maenneo mengi nchini yenye changamoto inayofanana na hiyo ya IWAMBI

Mimi naona changamoto kubwa sana ni UTAMADUNI wa watumia barabara hii ndiyo changamoto kubwa inayotuathiri

Tutazilaumu mamlaka bure lkn tutambue hata hatua hiyo iliyochukuliwa ya kuruhusu magari kupita kwa awamu ni kujaribu kutatua changamoto lkn tunaona limejitokeza janga jingine

Nachoamini hata likijengwa Daraja, ama njia ya mchepuko ambayo ni suruhu inayohitaji gharama kubwa kutekeleza lakini bado kama hatuwezi kubadili utamaduni wa kutumia barabara kwa nidhamu bado litajitokeza lingine
 
Kama ningekua nina mamlaka, ningepitisha barabara kubwa kupitia itende kuja kutokea seminary kisha Mbalizi
 
Nalielewa eneo vizuri, pamoja na eneo hilo kuna maenneo mengi nchini yenye changamoto inayofanana na hiyo ya IWAMBI

Mimi naona changamoto kubwa sana ni UTAMADUNI wa watumia barabara hii ndiyo changamoto kubwa inayotuathiri

Tutazilaumu mamlaka bure lkn tutambue hata hatua hiyo iliyochukuliwa ya kuruhusu magari kupita kwa awamu ni kujaribu kutatua changamoto lkn tunaona limejitokeza janga jingine

Nachoamini hata likijengwa Daraja, ama njia ya mchepuko ambayo ni suruhu inayohitaji gharama kubwa kutekeleza lakini bado kama hatuwezi kubadili utamaduni wa kutumia barabara kwa nidhamu bado litajitokeza lingine
Daraja litapunguza ajali.
Ndugu zetu wengi wanateketea hapo.

Yaani ajali asilimia nyingi zinatokea hapohapo.
Hata Kama kuna matumizi mabaya ya barabara waliyonayo watu.,ila sehemu yenyewe imekaa vibaya.
 
Ha ha ha

Suala la watajengaje watajua wenyewe... Kinachotakiwa WAJENGE

Mbona daraja la treni limejengwa na linadumu kama chama fulani
Wajenge tu.
Magari makubwa kila baada ya siku kadhaa unakuta limefeli break.

Mimi hiyo mitaa nashinda sana huko,ajali nyingi nazishuhudia.
Yaani pale kabla ya kufika relini unaposhuka Mbalizi ,lile korongo,tunapita tu kishujaa maana hatuna namna.

Wenye mamlaka waliangalie hilo.
 
Hivi Tanroads hawawezi kweli kuupunguza ule mlima kwa kujenga daraja halafu huo mteremko ubakie tu kama kivutio cha utalii!!!
Watajenga Iwambi Bypass kwa magari makubwa hayatapita hiyo njia.

Pili hiyo barabara inafanyiwa usanifu upya itajengwa kwa njia 4 kuanzia mwaka huu ni muendwlezo wa pale igawa ilipoishia kwa hiyo vuta subira
 
Daraja litapunguza ajali.
Ndugu zetu wengi wanateketea hapo.

Yaani ajali asilimia nyingi zinatokea hapohapo.
Hata Kama kuna matumizi mabaya ya barabara waliyonayo watu.,ila sehemu yenyewe imekaa vibaya.
Mdogo wangu nakubaliana na wazo lako lakini tambua huo ni mpango wa muda mrefu na gharama yake ni kubwa sana na kwa ufupi tu ni kuwa inatakiwa barabara hiyo ijengwe upya na ikijengwa upya itatatua changamoto hiyo kwa maana itazingatia mahitaji ya sasa sababu barabara hiyo ni ya muda mrefu

Lkn kwa mtazamo wangu bado kama hatuwezi kubadili culture yetu ajali haziwezi kutuacha salama maana kuna baadhi ya barabara zimejengwa mpya kutatua changamoto kama hiyo na tena zimejengwa kwa kiwango kizuri sana lkn yanayotokea ni aibu

Nadhani unaifahamu barabara ya Igawa - Iringa ni nzuri sana lakini matatizo ya ajali ni ya kufikia na hapo bado kuna bumps, askari wamejaa barabarani tochi za kutosha nk
 
Nina imani ya Mbalizi ikijengwa upya ajali zitapungua.
Ajali ninazozishuhudia hapo huwezi linganisha na za igawa Iringa.
Hapo iwambi sijawahi ona wiki inapita bila ajali.

Lijengwe tu halafu tuone kama ajali zitakuwa kwa kiasi kilekile.
Yaani miaka na miaka tunapoteza watu hapohapo tu.

Natamani wangelipa kipaumbele kama jinsi walivyoupa kipaumbele jiji la dsm.
 
Mawazo yako yanachukukiwa naamini watayafanyia kazi lkn nakushauri tena mkuu endelea na usichoke kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara wabadilike watumie barabara kwa nidhamu ili tupunguze ajali zinazoweza kuzuilika hasa hao waendesha gari za abiria maana umekiri mwenyewe wakiruhusiwa kwa awamu wanafukuzana na kusababisha ajali zinazoweza kuzuilika
 
Back
Top Bottom