Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,393
- 17,569
Sijui kwanini huwa hata watu hawafungui nyuzi zakujadili mambo muhimu yanayogusa maisha ya wazawa wa hili Taifa directly hasa hilimfano rahisi.
kwa wale ambao wanatafuta au wameshawahi kufanya kazi nchi za GCC mfano UAE, Oman, Qatar nk mtakubaliana na mimi recruitments agents nyingi ni zawahindi na hutoa priority kwa wahindi wenzao haijalishi umemdhidi au hujamdhidi uwezo, uelewa na experience labda itokee kabisa hayupo mhindi kwenye hiyo nafasi.
tusipolinda ajira za vijana wetu hapa nyumbani ambao huko nje wanakwama kwa kuzidiwa na kukosa wakuwabeba basi tutakiwa watu wa ajabu sana.
Ni tatizo sugu Sana , na linaanzia kwenye mamlaka zenyewe hasa immigration na wizara ya ajira kuna rushwa kiwango kikubwa cha kutisha na loop holes za kuruhusu Huu upuuzi kufanyika , hii nchi inatia hasira Sana , Mimi sijui hawa wapumbav kwenye hizo wizara na mamlaka kazi Yao huwa ni nini , na si wahindi Tu kuna wachina nao na wapuuz wengine wachina mahindi wanaletwa humu kama experts na wanapewa vibali vya kazi kabisa bila hata assessment yeyote wakati kuna Lundo la watu wenye hizo qualifications na experience humu za hizo kazi nchini .
Mtu mweusi kalaaniwa ,huwa hatujifunzi hata Kwa wenzetu jinsi migration na wizara ya ajira Kwa wenzetu zilivyostrict ? ,Hivi mtanzania unaweza toka hapa ukaenda hapo Kenya au Uganda ukapata ajira kipumbavu kama inavyofanyika humu ?
Njooni tulime tuu wazee
Tatizo linaanzia watu waliowepewa mamlaka kusimamia lakini pia watanzania wengi sio watu wakuchangamkia fursa.
Hili inabidi watanzania wenyewe tupaze sauti..
Ki ukweli kwenye hili tumevamiwa ukizingatia wenzentu wapo vizuri si tuu kwenye kujieleza na hata kwenye maeneo mengine,
Nchi imefunguliwa na kuwa shamba la Bibi. Ajira chache zilipo, zachukuliwa na wageni tena wasio na sifa kisa wenye kampuni ni watu wa kwao Kuna kampuni, kipindi cha magu wafanyakazi wao wengi walikuwa na mikataba ya mwisho. Baada ya kufariki ile sheria imekanyagwa na wamepewa mikataba mipya na maslahi manono. Viongozi wetu dhaifu sana.Moja kwa moja kwenye hoja.
Ni wakati sasa wa kuangalia kwa jicho kali ulinzi wa ajira za vijana wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla.
Milango tulioifungua kwa kuruhusu wageni kuingia na kupata ajira kwa hoja ya kadili muwekezaji aonavyo inaanza kuwa hatari kwa ajira za wazawa na mustakabali wa wasomi wa kitanzania.
Hali imeaanza kuwa mbaya mitaani kwa ajira nyingi kupewa wageni sasa hata pale ambako hapastahili.
Serikali inapaswa kuweka jicho kali sasa ili kulinda ajira za wazawa, Waajiri wengi sasa wameanza kuleta wageni hasa indians kutoka India kwa kazi ambazo watanzania wanaweza kuzifanya.
Kenyans, Ugandans nao hawako nyuma wamechangamkia fursa hiyo hasa makampuni ambayo ni mali ya wakenya na waganda. Wahindi wameanza kumiminika kwa wingi saana, na makampuni ya kihindi yanatoa priority kwa indians wenzao bila kujali wako ardhi yenye watu pia.
Kwenye constructions na mining pia kumekuwa na hii changamoto kwa sasa kwa expert wengi kuletwa kwa kigezo cha wazawa hakuna, hata kwa zile kazi ambazo unaweza kufundisha mtu ndani ya mwezi akazifanya au ukapromote mtu ndani ya organization husika.
Upande wa biashara, wageni wanaachwa kuingia ndani kabisa huko kufuata bidhaa za kilimo na kufanya biashara nyinginezo ambazo wazawa wanapaswa kufanya, mkenya hapaswi kufuata parachichi Njombe au nanasi bagamoyo bali ni mtanzania anapaswa kupeleka Kenya au Mkenya asubiri border kwenye soko.
Mchina hapaswi kuwa na duka kariakoo bali ni mtanzania anapaswa kuagiza bidhaa china na kuleta hapa, Mturuki hapaswi kuwa na duka kariakoo bali mtanzania anapaswa kuagiza bidhaa na kuzileta hapa.
Tusipolinda ajira za vijana wetu basi kuna hatari ya vijana wetu kuwa watumwa na wapagazi ndani ya ardhi yao, Jicho kali sana linahitajika hapa na watanzania tuwe wazalendo sasa kulinda ajira za wenzetu hata kama sisi tuna nafasi ya kuishi.
Kenya huwezi kupeleka bidhaa hovyohovyo kwenye masoko yao kama sio mkenya, Kenya huwezi mtanzania kuomba ajira ukapata kirahisirahisi. Kenya ni mfano tu katika mifano mingi katika nchi nyinginezo kama West Africa.
Wakenya wapo agrressive sana katika kutafuta pesa,wanajua kujiuza vzr,communications skills(sio kizungu)yao imekaa vzr,mtu anajielezea vzr utakiri ana PHD,kumbe ka diploma tu.Moja kwa moja kwenye hoja.

Wakenya wapo agrressive sana katika kutafuta pesa,wanajua kujiuza vzr,communications skills(sio kizungu)yao imekaa vzr,mtu anajielezea vzr utakiri ana PHD,kumbe ka diploma tu.
Makampuni mengi ya nje,huanzia kuweka base Kenya,harafu yanasambaa East Afrika,wakitaka mfanyakazi bongo,wanakuja nae kutoka Kenya,Kuna kampuni ya USA ilipata kazi Zenj,lakini ofisi zipo Dar,basi ikachukua wafsnyakazi kibao Dar ikaenda nao Zenj kupiga kazi!!sasa wenyeji wakawa wanashangaa kwanini hiyo kampuni haikuqnzia Zenj iajiri Zenj?maana kazi tulizokuwa tunafanya hata wenyeji wangeweza kufsnya,wao wakaishia kuwa vibarua tu,Wakenya wanatafuta fulsa mpaka SA!!nimekutana nao huko,wameishaoa wenyeji wanapiga maisha balaa!!vijana wabongo inabidi kujifunza hustle technic za Wakenya sio kuwachukia,kama Mganda,Mkenya anakuja shqmbani kwangu ananunua nanasi,mahindi,ndizi kwa bei poa,kwanini nimkatalie?
Wakenya wananunua mahindi hapa,wanaenda wanasaga unga wanauza Sudan,kwanini na sie tusiuze Malawi??