Hatari Chooni kwako!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari Chooni kwako!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Oct 1, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  nyoka.jpg nyoka.jpg2.jpg nyoka.jpg3.jpg nyoka.jpg4.jpg
  Hii ni hatari iliyotokea hivi karibuni!!
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyo nyoka anataka kuvizia kuwavimbisha watu njia ya maji taka.
   
 3. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo kweli hatari
   
 4. A

  A VILLAGER Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora nikajisaidie porini
   
 5. awp

  awp JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nimeogopa, sasa sijui niwe najisaidia wima, kapitaje hapo?
   
 6. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  sooo scary loooh daah hadi mwili umesisimka huyo mnyama alilaaniwa na mungu yaani mapatano hamna kabisa daah
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hivi vyoo vya mtaani ukawii kukutana na hii kitu!!maana baa nyingi vyoo vipo huko na hakuna uangalizi wa usafi!!shame on it!
   
 8. monakule

  monakule Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  inatisha, leo sijisadii ng'o!
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  duh! simpendi huyo kiumbe balaa!!!
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Ukiona nyoka tafuta mafuta ya taa (kerosine) ukifanikiwa kumrushia japo matone machache umemmaliza nguvu analegea kama mrenda (ute wa bamia).

  Njia nyepesi ni kufunga tambara kwenye gongo/fito refu. Roanisha tambara kwa mafuta ya taa na mgusishe nyoka hilo tambara.

  Baada ya hapo uamuzi ni wako kama unataka kumfanya mboga au unammaliza na kumfukia kama mzoga.
   
 11. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Utajisaidia tu!
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio kwamba humpendi,unamuogopa tena sana tu.
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Najiuliza huo ujasiri wa kuanza kupiga picha ulitoka wapi.Ningekuwa mimi ningetoka nduki
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Akigonga kwenye masaburi atafungwa sehemu gani?

  [​IMG]
   
 15. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inatisha Uwiii!!
   
 16. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Similar case ilitokea pale Snake Park Arusha. Mama mmoja wa Kijerumani aligongwa chini na chatu aliepotea kwenye septic tanks akiwa anajisaidia. Mount Meru Hospital waliweza kupunguza tuu ile kasi ya kusambaa kwa sumu mwilini. Huyu mama alifia kwenye Helicopter tukiwa njiani kuelekea Kenya kwa matibabu kamili.
   
 17. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Na utawekaje choo cha kukaa kwenye matumizi ya umma! Hii ndiyo faida yake.
   
 18. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Fanya kama janja ya tembo kuchafua chafua maji kabla hajayanywa,,ukifika unaflush kwanza haf ndo unakaa. kama alikuwepo atatoka nduki!
   
 19. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  ujinga sana,,unavunja choo ssb ya nyoka/je kono ukinyewa utaukata/
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Unafunga shingo ili sumu isiende kwenye ubongo
   
Loading...