nafikiri usingekuwepo udhibiti hali isingekuwa namna kipo chombo kinachoshughulikia yote hayo ndomana unaona na magazeti yanafungiwa na mtoto umlei vema kwa kumzuia kuangalia tv wakati anapokwenda shule na michezoni anaona na mengi makubwa

thanks....sidhani kama kuna vetting yeyote ya kazi za wasanii kuhakikisha zina maadili yanayokubalika au kulinda watoto. Hii kwa sasa sidhani kama ni priority kwa wenye njaa wetu,watu wa sihasa, ila tunatengeza wenyewe jamii ya watu wanaopenda starehe na uhalifu kuliko kazi.