HATARI: Athari za Sanaa Tanzania

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
Imefika sasa wakati kwa Tanzania kuwa na uwezo wa kufuatilia matokeo ya athali na mabadiliko ya kijamii yanayoweza kusababishwa na sanaa ...

kama Kuna TBS!!!kwenye bidhaa nyingine basi hata kwenye sanaa tuwe makini... filamu nyingi hivi sasa zina sambazwa bila udhibiti wowote...TV na radio station zina rusha matangazo na nyimbo kwenye jamii bila umakini...

nyimbo zina chochea utukutu na matumizi ya bangi...
watu walio fuzu mambo ya jamii sasa ni wakati wa kuwajibika...ipi ina faa kwenye radio na ipi haifai..ipi kwa wenye miaka 18 na ipi ni chini ya hapo...

wanao haribika ni jamii ...

mara nyingi kazi za sanaa zikaguliwe kabla ya kusambazwa...

NB nitaendelea
 
Matumizi Ya pombe...Na vurugu..wahusika mpo wapi?- Filamu zina onyesha mauwaji...naona mna shangaa....
 
nafikiri usingekuwepo udhibiti hali isingekuwa namna kipo chombo kinachoshughulikia yote hayo ndomana unaona na magazeti yanafungiwa na mtoto umlei vema kwa kumzuia kuangalia tv wakati anapokwenda shule na michezoni anaona na mengi makubwa
 
Magazeti yanayo fungiwa ni mwana halisi tu....

acha pumba...
 
Sidhani kama kuna vetting yeyote ya kazi za wasanii kuhakikisha zina maadili yanayokubalika au kulinda watoto. Hii kwa sasa sidhani kama ni priority kwa wenye njaa wetu,watu wa sihasa, ila tunatengeza wenyewe jamii ya watu wanaopenda starehe na uhalifu kuliko kazi.
 
Ni hatari kuliko maelezo....jamii itapambana na uharifu milele yote...Msanii ana weza aka jenga au aka haribu bila yeye kujua....
 
nafikiri usingekuwepo udhibiti hali isingekuwa namna kipo chombo kinachoshughulikia yote hayo ndomana unaona na magazeti yanafungiwa na mtoto umlei vema kwa kumzuia kuangalia tv wakati anapokwenda shule na michezoni anaona na mengi makubwa

kwa mslai yako .....haya ipo siku mta amka...toa kwenye matongotongo!!
 
ni hatari kuliko maelezo....jamii itapambana na uharifu milele yote...msanii ana weza aka jenga au aka haribu bila yeye kujua....

labda tuseme kwa lugha ya kisasa kitu kimoja kinaitwa -vikitimu ofu yua auni sakisesi-
 
sidhani kama kuna vetting yeyote ya kazi za wasanii kuhakikisha zina maadili yanayokubalika au kulinda watoto. Hii kwa sasa sidhani kama ni priority kwa wenye njaa wetu,watu wa sihasa, ila tunatengeza wenyewe jamii ya watu wanaopenda starehe na uhalifu kuliko kazi.
thanks....
 
Mfano wimbo wa duli unao tumika kwenye protion ya Tigo kuna maneno ma IBA- KABA...Yakisisitiza wizi...lakini sijui mna sikiliza?
 
NyiMbo ya BAO ipigwe halafu upo na mama yako.
Halafu ifahamike hizi filam nyingiza Bongo zinakuwa zina copiwa kutoka nje.Maana kuna Filam za Ghana na Nigeria unaona na za hapa baadhi ndio vile vile.
Kimekuwa kamakichaka sasa.
 
Hatuwezi kuzipiga marufuku ila tunaweza kuielimisha jamii madhala yake...yapo madhala chanya na hasi....kweli kasheshe pale bao inapokua hewani....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom