Domenia
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 462
- 22
Imefika sasa wakati kwa Tanzania kuwa na uwezo wa kufuatilia matokeo ya athali na mabadiliko ya kijamii yanayoweza kusababishwa na sanaa ...
kama Kuna TBS!!!kwenye bidhaa nyingine basi hata kwenye sanaa tuwe makini... filamu nyingi hivi sasa zina sambazwa bila udhibiti wowote...TV na radio station zina rusha matangazo na nyimbo kwenye jamii bila umakini...
nyimbo zina chochea utukutu na matumizi ya bangi...
watu walio fuzu mambo ya jamii sasa ni wakati wa kuwajibika...ipi ina faa kwenye radio na ipi haifai..ipi kwa wenye miaka 18 na ipi ni chini ya hapo...
wanao haribika ni jamii ...
mara nyingi kazi za sanaa zikaguliwe kabla ya kusambazwa...
NB nitaendelea