Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 33,863 54,098 Oct 29, 2017 #2 Hatari sana. Huyo mama ataendelea kula mafao ya mumewe vizuri kabisa. Au walikuwa "wanabariki ndoa" baada ya kuwa "wachumba sugu" kwa miaka dahari?
Hatari sana. Huyo mama ataendelea kula mafao ya mumewe vizuri kabisa. Au walikuwa "wanabariki ndoa" baada ya kuwa "wachumba sugu" kwa miaka dahari?