Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
879
Reaction score
2,451
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni
 
huyo ndio wife material sasa kijana. tulizana hapo hapo
 
Asante Kaka! Ila Ndoa Siyo mchezo, siwez kukurupuka tu kuoa eti kisa mwanamke ni bikra....Yani hata dini zenyewe tuko tofauti! Cjui nifanyaje....
 
Ukiona demu anakunyima utama zaidi ya siku tisini tangu umtongoze achana nae...unapoteza muda na gharama zako...hajakupenda..demu akikupenda hata ndani ya kichaka atakupa utamu...acha kupoteza muda wako

Oukay Asante...
 
Wana-JF wenzangu naombeni Ushauri....Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane! Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha...Mimi ni Mwanaume niliekamilika nani atanitimizia haja zangu kama cyo yeye. Anadai ananipenda hataki tuachane...Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri!!! Asanten...
Unamiaka mingapi? na malengo yako kwake ni yepi? dini zenu totauti,malengo ya kuoa kwa sasa huna bado unatafuta,na wewe ni mwanamme ulokamilika nani atatimiza haja zako ivi ungekua mwanamke na mwamme anakwambia mamneno kama yako ungekubali kumvulia nguo eeh?
 
Sasa wewe umethibitishaje ubikra wake bila kumgonga?

Wajanja wamekula hiyo chakula mpaka kikachoka sasa anakuvizia akukamatishe na kitu kilichoisha utamu. Subiri uoe
 
anazingua huyo ukiona hivyo analiwa na majamaa wengine..ww ni boya tu anakufanya wa kuzugia..we jamaa wa kuja nini
 
Kwanza kabisa Wewe ni bikra? Na. Wewe unataka mke au unataka kuzini? Kama kweli unampenda na unataka awe mke wako utakubaliana nae, kama sivyo isipende kumharibu mwenzako ambaye amejiheshimu kwa miaka yote hiyo.
 
Kwanza kabisa Wewe ni bikra? Na. Wewe unataka mke au unataka kuzini? Kama kweli unampenda na unataka awe mke wako utakubaliana nae, kama sivyo isipende kumharibu mwenzako ambaye amejiheshimu kwa miaka yote hiyo.

acha bla bla bla bikra mjini ????? umeona wapi
 
anakunyima baadae unakuta alishadokolewa kitambo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom