Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Anakudanganya huyo. Achana nae. Anakupendea vizawadi vyako.
 
Sasa wewe umethibitishaje ubikra wake bila kumgonga?

Wajanja wamekula hiyo chakula mpaka kikachoka sasa anakuvizia akukamatishe na kitu kilichoisha utamu. Subiri uoe

Atakuja kudai bikra imetolewa na mazoezi!
 
Hivi mpaka leo kuna watu bado mnaibiwa na hadithi za bikira?

Mkuu, kijana hajui kuwa wanawake ni wanasaikologia wa asili. Kamsoma kijana kaona amwingize gia ya bikra. Atauziwa mbuzi kwenye gunia. Siku hizi ni shake well before using. Arusi zote lazima binti awe na kitumbo!
 
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni

if ur muslim take qur-an tukufu and read, christian take a bible usome, acha kuwaza zinaa muda wote
 
usikubari kuuziwa mbuzi kwenye gunia!!!
 
Mmh hebu acheni kudanganya wenzenu kuna wenye misimamo yao si kila anaekataa ngono kabla ya ndoa basi anacheat,huyo bint anapenda ndoa yeye kama hawezi basi na amuache mtoto wa watu atapata anaemstahili.
Ukiona demu anakunyima utama zaidi ya siku tisini tangu umtongoze achana nae...unapoteza muda na gharama zako...hajakupenda..demu akikupenda hata ndani ya kichaka atakupa utamu...acha kupoteza muda wako
 
hahahaa!!eti uko njia panda, haya toka huko njia panda nenda kwa main road
 
Ni bora amuache maana mtoa mada mwenyew anaonekana hana future na huyo bint,kwanza dini tofauti huenda huyo bint kaona hamna dalili za kuolewa bora amnyime tu.
Anakudanganya huyo. Achana nae. Anakupendea vizawadi vyako.
 
SHETANI BINADAMU pia wapo....UNALAZIMISHA UZINIFU

Asante Kaka! Ila Ndoa Siyo mchezo, siwez kukurupuka tu kuoa eti kisa mwanamke ni bikra....Yani hata dini zenyewe tuko tofauti! Cjui nifanyaje....
 
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni

Hata mm yamenikuta km ww isipokuwa mm tupo dini moja nmemuacha nmetulia kimya tu maana alkuwa hataki hata tupige stori kwa muda mrefu. WW msubirie huyo wakwako lakini kigezo cha U-Bikra kwa maisha ya mjini hakunaga mjomba. Waongo sana hao watu, ukiambiwa yeye ni bikra basi tambua anakuona ww Juha tu! Hata mm kuna wadada wamewahi kunidanganya namna hiyo lakini baadae nikajua na nikaachana nao kwasababu wanakuwa waongo inaweza ikaleta shida mkishawekana ndani, bora akwambie msubiri mpaka muoane lakini asiseme kwamba yy ni bikra. Mm huwa siamini kabisa hiyo sentensi, Bikra ni yule Maria Mtakatifu Mama wa Mungu peke yake. mm huwa siangalii u-bikra ww km unaangalia u-bikra, baada ya kuoana ukimkuta hana sijui utafanyaje ndugu yangu?!
 
kuto ku sex kabla ya ndoa na umri wenu ni mdogo ni day dreaming.... will never happen
 
Sijui kipi kinaweza kukueka kwa huyo binti...hii inaonyesha dhahiri kuwa huna mikakati nae ila unachotaka kufanya ni kumuharibia.

Why usitafute wa dini yako?
Why usisubiri mpaka ukaoa?
Why...why..why?

Kama unaona relation yako ina "Why" nyingi, you better call it off.

Asante Kaka! Ila Ndoa Siyo mchezo, siwez kukurupuka tu kuoa eti kisa mwanamke ni bikra....Yani hata dini zenyewe tuko tofauti! Cjui nifanyaje....
 
Mwache mtoto wa watu usimuharibie fyucha yake banah,kama wewe hupendi wanaotaka kusubiri mpaka ndoa wengine wapo,waachie wanaopenda wasichana wa namna hiyo we tafuta mwenye miwasho kama wewe asiyeweza kuvumilia kama wewe sawa?????????!!!!!!!!
 
Hata mie sikushauri usubiri. Uwezekano wa kudanganywa ni mkubwa. Hamna bikra hapo...uzushi mtupu. Afu bikra ya nini? Kwani ukishaitoa kinachobaki nini???
 
Asante Kaka! Ila Ndoa Siyo mchezo, siwez kukurupuka tu kuoa eti kisa mwanamke ni bikra....Yani hata dini zenyewe tuko tofauti! Cjui nifanyaje....

Sasa wewe umekwishaona dini ni tatizo kwanini unakomalia kumgegeda dada wa watu? inawezekana yeye pia haoni future kati yenu kila anapoliangalia suala la dini.Bora umuache dada wa watu
 
Mmh hebu acheni kudanganya wenzenu kuna wenye misimamo yao si kila anaekataa ngono kabla ya ndoa basi anacheat,huyo bint anapenda ndoa yeye kama hawezi basi na amuache mtoto wa watu atapata anaemstahili.

Sijasema anacheat nimesema atakuwa hampendi na wala hamkubali....na ndo ukweli huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom