Basi hapo mkuu tunza tu mazingira ila yakutunze hahaInawezekana
Mmmh!! Haupo uncomfortable tena!!!Nipo as long as haitoaffect afya yangu n amenipinguzia majukumu ingawa niko unconfortable sababu sijazoea
Mazoea 0
Sasa jamani tayari kampata, na kasema penzi jipya!Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....
Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....
Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!
Na wenyewe akafanye practiceHawawezi kukuelewa mkuu wanasoma kwa hisia
Mmh usikubali we nyoa bwana kama kukuacha akuache isiwe sababu bwanaYe hanyoi zake hazikui sana shida kwangu
Kazi kweli kweliAnachangamsha genge.
Alafu issue ya kitoto anaomba ushauri
Mmh majuzi hana bwana ' juzi kampata bwana " mpaka jana tayari keshaliwa !!!!.... halafu mbona tayari alishajitetea kuwa Story zake huwa hazina ukweli ...so hata hii pia ni chaiSasa jamani tayari kampata, na kasema penzi jipya!
Naic hayo mambo yake alokuwa anasubria yakae sawa ndo aingie kwnye mahusiano huenda yashatimia mkuu so, story yake ipo sawa....!!Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....