Hata nikimwambia anasema anajua yeye mda wa kulipalilia
Anadhani akikukuta umenyoa utakua umeenda kwa mungine.Ila sijaelewa uhusiano wa vuzi na wivu
Wakuu ni kawaida kusafishwa maeneo na mwenzi wako?? maana huyu mkuu simuelewi hataki kabisa ninyoe anasema zikizidi yeye ndoataona azinyoe na biti juu nikinyoa ntamweleza nilikipeleka kwa nani kipochi manyoa staki kumkwaza ila kukaa na v*** sijazoea....
Inabidi utii na ukubaliane nae.Fikra potofu ila ngoja niende atakavyo nikishindwa basi
Ni moja ya mbinu ya ulinzi wa mipaka yakeyaani wewe uone aibu ya kupeleka papuchi nje wakati kumejaa manywele
Utazoea vumiliaMe mwenyewe napata shida ila ndo napambana na mahaba mapya
Bibie kila mwanaume anastaili yake ya mapenzi hiyo yeye anaskia raha akiona hizo nywele nana alikudanganya kuwa vuzi ni uchafu wangapi wanayo na mpango wa kunyoa hawanaFikra potofu ila ngoja niende atakavyo nikishindwa basi
Hayo Siyo Mapenzi Ni Mahaba ππππMe mwenyewe napata shida ila ndo napambana na mahaba mapya