Hataki niangalie wanawake wanaojidhalilisha kuvaa nusu uchi

Huo ndo ukweli kabisa nakupongeza kwa kujua hilo mapema
Hahaaaa. Ilinichukua muda ila namshukuru Mwenyezi Mungu kwani yale huwa nayaita mawazo mgando sababu twende mbele na nyuma hata mie naweza muona mkaka kapendeza na kashingo kangu nikakageuza na baada ya hapo naendelea na safari zangu pasi hata kukumbuka nini niliona. Hahaaaa.
 
Hayo ndo maneno hongera sana na wenzako waige mfano huu
 
Hahaaa. Wenye kuweza waige tu Mkuu sababu mie naiona ni moja ya njia ya kufanya niishi kwa amani na kuwa na uwezo wa kuenda popote kwenye wanawake wa aina yeyote nikakaa kama sehemu ya kukaa na walaaa roho yangu isinipae sababu najua mwisho wa siku ni wangu yule na nitaondoka naye wale tutawaacha pale pale hivyo ageuze tu shingo mbaya ni kuvuka mipaka ila kama ni kuangalia neema aangalie tu kwa kweli.

Kikubwa kujikubali na kujiamini baasi. Hahaaa.
 
Yeah hiyo ni nzuri aangalie tu basi
 
Vp lakini Mkuu na weye ndio unaiendeleza hii mnayoita kawaida yenu au wewe una kaunafuu katika kugeuza shingo yako? Hahaaaaa.
Hakuna cha unafuu huwa nageuka sana na kumshukuru Mola kwa uumbaji ila nikiwa na wifi yako huwa najizuia kidogo japo hajawahi niambia kuhusu kugeuka geuka
 
Hahaaaaa. Nafuu yako unajua kujizuia ila wengine mmh.

Hata aibu hawana yaani huwa najiwazia inamaana hawajui kama wenzao wanaumia kweli au ndio wanaona sawa?
 
Back
Top Bottom