Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Hapo haujamsaidia. Sio kwa swali lake wala kwa kitendo cha utoaji mimba walichokifanya.Wewe na Jamaa yako wote mna laana, so kupata mwanamke mimba ni kosa la mwanamke? Hivi nyie ndo mwajiita wanaume wa miaka hii? hiki kizazi ni cha hovyo kabisa. Na mwanamke katoa mimba 2? Kabisa? mnafikiri kutoa mimba ni kama kwenda aja? Pumbavu kabisa nyie. Hii habari inachefua.
Hapo haujamsaidia. Sio kwa swali lake wala kwa kitendo cha utoaji mimba walichokifanya.
Hebu tudi tena mkuu, punguza jazba!
Kuna kitu wanasahau....cycle inabadilika so bado callender ni pribability. Afu hii story imenipa hasira...najiuliza kama kweli huyo dada anapendwa na huyo jamaa..maana amefanywa sex objectKo unadhani kupata mimba ni uzembe wa mwanamke? Wanaume ndo wa kwanza kukataa kutumia condom alafu yakitokea mnasingizia kalenda... Aliekwambia kila mtu anazaliwa anajua kusoma hiyo kalenda nani? Kama wewe na rafiki yako mnajua ishu ya kalenda si mngemwambia!!!
Mungu awasamehe kwa kutoa hizo mimba!
Hamna mapenzi hapo!!! Alafu mleta uzi nae kachukia story ya upande mmoja na kutuletea hapa... Inawezekana huyo mwanaume ndo anamlazimiza binti kutoa hizo mimba... Na labda mwanaume hayuko supportive kabisa kwenye mambo ya kuzuia mimba ndo mana mdada anaona bora ajiondokeeKuna kitu wanasahau....cycle inabadilika so bado callender ni pribability. Afu hii story imenipa hasira...najiuliza kama kweli huyo dada anapendwa na huyo jamaa..maana amefanywa sex object
Kiukweli inshu ni kwamba wote wawili ndo wanashauriana tena hii ya pili binti ndo alilazimisha Sana waitoe hataki kuzaa na sio kwamba mshikaji anamlazimisha demu,jamaa anakomaliwa ananunua dawa ya kutoleaHamna mapenzi hapo!!! Alafu mleta uzi nae kachukia story ya upande mmoja na kutuletea hapa... Inawezekana huyo mwanaume ndo anamlazimiza binti kutoa hizo mimba... Na labda mwanaume hayuko supportive kabisa kwenye mambo ya kuzuia mimba ndo mana mdada anaona bora ajiondokee
Kwa hali hiii..huyo dada aende na asirudi..she deserves better..sio kwa unyama huu. Two abortions na bado mwanaume haoni kama ni kitu. StupidHamna mapenzi hapo!!! Alafu mleta uzi nae kachukia story ya upande mmoja na kutuletea hapa... Inawezekana huyo mwanaume ndo anamlazimiza binti kutoa hizo mimba... Na labda mwanaume hayuko supportive kabisa kwenye mambo ya kuzuia mimba ndo mana mdada anaona bora ajiondokee
DuuuhKiukweli inshu ni kwamba wote wawili ndo wanashauriana tena hii ya pili binti ndo alilazimisha Sana waitoe hataki kuzaa na sio kwamba mshikaji anamlazimisha demu,jamaa anakomaliwa ananunua dawa ya kutolea
Anaeathirika zaidi ni mwanamke!!! Ata itakapotokea kizazi kitaharibika ni yeye ndo atateseka kwa huyo mume wake!!! Bora aende tuKwa hali hiii..huyo dada aende na asirudi..she deserves better..sio kwa unyama huu. Two abortions na bado mwanaume haoni kama ni kitu. Stupid
Wote hawajotambui kwa nn asitumie condom unahis ni rahis kila mwanamke kutumia kalenda kama cku zake hazielewek yan zinabadilika badilika, ushaur Wa nn mnataka hapaHabari wana Jf
Kuna rafiki angu ana demu wake mwenye miaka 25
Hivi majuzi jamaa kaja kuniomba ushauri
Mwaka jana alimpa mimba huyo binti na ilitokana na uzembe wa binti mwenyewe kutojua kalenda yake ya period
Mungu awasamehe wakafanya abortion
Baada ya muda demu akaanza visa na kumwaga mshikaji
Jamaa akapotezea wakasahauliana
But mwaka huu demu karudi tena kwa jamaa kuomba msamaha na kwa kuwa jamaa hakumkosea kitu chochote Yule binti akamsamehe mapenzi yakarudi tena
Last month demu kapata mimba nyingine akaitoa jamaa yangu akapewa taarifa hakua na jinsi akatulia
Alijitahidi kuonesha mapenzi kwa Yule demu kwa kumsaidia vitu mbalimbali
Lakini ghafla akaanza kupunguza mawasiliano na jamaa akawa anamtafuta akiwa na shida
Sasa jana jamaa akamuuliza Yule demu vipi mbona siku hizi hunichangamkii hata mawasiliano ni nadra
Demu akasema ameamua akae hivi hivi mara anaona anaharibikiwa sasa hajui baadae atamlaumu msela au huyo bwana atakayemwoa coz mshikaji ana mchumba Ake na huyo demu anadai ana mchumba Ake yupo depo jkt
Hivyo hataki tena mapenzi
Kiukweli jamaa ana mshangaa huyo manzi kwa maamuzi yake kana kwamba alimpa mimba kilazima wakati ni uzembe wa demu mwenyewe kutojua siku zake
Je jamaa amwache kabisa huyu demu au aongee nae vizuri ili mapenzi yaendelee!??