Naona unahamasisha zinaa waziwazi...
Hebu kafanye toba huko
Kama mtoto kakushinda mbinu basi inawezekana wewe ni mkubwa umri tu ila kimaarifa wewe ni mtoto kwake.






Nilikuwa nasikia tu story kuwa kudet na vitoto vidogo ni stress tu...kuna kisichana kina miaka 22 nilikatamani nikakatongoza ananipenda na ameniweka wazi juu ya uhusiano wake uliovunjika miezi michache iliyopita...kiukweli nampenda ila ataki kabisa swala la kugegedana eti hadi tuoane...jamani ebu nipeni mbinu ya kulila tunda la huyu binti kwani najihisi nimeishiwa maarifa kabisa kwenye akili yangu...mbaya kabisa ataki kabisa kukutana na mimi faragha tukiwa wawili ila nikiwa na mabest zangu anabiletea swaga za mahaba niue![]()


Muuni unataka upige usepe.Acha utoto mkuu kuku wako manati ya nini?subiri aingie bandani.Nilikuwa nasikia tu story kuwa kudet na vitoto vidogo ni stress tu...kuna kisichana kina miaka 22 nilikatamani nikakatongoza ananipenda na ameniweka wazi juu ya uhusiano wake uliovunjika miezi michache iliyopita...kiukweli nampenda ila ataki kabisa swala la kugegedana eti hadi tuoane...jamani ebu nipeni mbinu ya kulila tunda la huyu binti kwani najihisi nimeishiwa maarifa kabisa kwenye akili yangu...mbaya kabisa ataki kabisa kukutana na mimi faragha tukiwa wawili ila nikiwa na mabest zangu anabiletea swaga za mahaba niue![]()
Kuna bubblegum zinazo ongeza ashiki kama wewe ni mtoto wa mjini zitafute huo kisha jitahidi umuite mkae faragha kisha mpatie aitafune ....... Baada ya kama dkk 30 Ataanza kujisikia ashiki yaani zile zilizovuka kiwango lazima atakuambia mfanye matusi tu ''... au atakuonyesha hizo dalili .........
BTW--- sihitaji usumbufu pm
Lol @zeshcriss msikie huyu heheheHahah sasa mbona umeweka tahadhari mkuu, tupe maelekezo bei na mahali zinapopatikana![]()
Kumbe bikiralessJamaa alikula mzigo...bado anaishi kwao na wala sio geti kali...kwao wananifahamu...ila gemu tu ataki kitoa...nataka nionje kwanza kisha ndio nipange kuoa ama lah.
Mambo hayo yakubaniana yamepitwa na wakati...Wewe ni mpigaji sio bure![]()
Wewe ni mpigaji sio bure![]()
Inawezekana...nadharia zangu itakuwa zinaniponza maana huwa sipendi penzi la kulazimisha...si unajua mapenzi starehe...Kama mtoto kakushinda mbinu basi inawezekana wewe ni mkubwa umri tu ila kimaarifa wewe ni mtoto kwake.
Itakuaje na namfell sanaMuuni unataka upige usepe.
Usisahau kuwa uzinzi ni dhambi mkuu. Acha kumshawishi mwenzio kutenda dhambi.
Mbona alie pita amemega kiulaini tu...?Unataka kuoa au kumega na kusepa? Kama wa kumega na kusepa basi tafuta wa aina hiyo, ila kama unataka wa kuoa basi muoe. Jua kutofautisha siyo kila mmoja wa kumegwa ovyo tu, wapo wenye malengo yao
Ameshapitiwa na wengine...kwanini mimi anibanie wakati ninafuture nae nzuri tuuKwani lazima umpitie? Yaani wanaume bwana mtoto wa watu anataka ajitunze kwa ajili ya ndoa wewe unalazimisha akubali umpitie halafu ukimaliza upotee
Sasa kama unataka kupiga na kusepa si ukatafute wanawake wanaotaka kufanyiwa hivyo? Mnaharibu wanawake wa watu halafu mwisho wa siku mnakuja kulalamika kuwa wanawake ndo wabaya
Nitaoa ila lazima nijiridhishe...kwanzaKama unataka kula tunda, oa