Hataki kuonana na mimi...

asante sana kwa ushauri mzuri, nimejifunza kitu mkuu
 
Hili nalo linahitaji kushauriwa kweli? sema ndio hivyo kupenda ni upofu hivyo nahisi huwo upofu ndio unakufanya usione hata hili ambalo liko wazi kbs kuwa huyo hana time na ww hivyo jiongeze mkuu, pole lakin
sawa mkuu nimekuelewa
 
Kwanini anapokua kaja kuchukua anachokitaka.. usitumie mda huo kuongelea mambo yako befor haujampa? na kama atakuambia hana mda wa kuongelea hayo mambo.. basi hapo jitoe hakuna mapenz hapo. Tafta ataekua na mda kuongea na kupanga mipango yenu.
ni kweli mara nyingi anapokuja huniambia hataki kukaa sana, anawahi nyumbani kwa ivo kama ni mazungumzo labda cku nyingine.
 
daah,,khy akiwa na shida ya hela ndo anakufuta...kweli mjin msingi kiuno🙂
 
Ukiona tembo anaringa ujue mvua imekaribia
 
Hahaaa pole mkuu huyo sio mpenz sahihi kwako bali yupo kwa ajili ya kukuchuna,jiongeze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…