Hataki kunipa talaka

hapo ndo kosa lako kuu ulipomwachia akuchape hebu amka mwanamke mwenangu mbn dawat la jinsia lipo,mlaze ndan sku moja atie akili
 
Nina ushahidi wa kutosha, nimempigia mwanamke amekiri.

HIVI WEWE MWANAMKE UNA AKILI TIMAMU AU ULISHAWAHI KUWA NA MATATIZO YA AKILI? NATAMANI KUJITOA FORUM HII SASA NAONA KUNA WENDAWAZIMU.. WHAT ? WEWE SEMA KUNA JAMBO UNALITAFUTA WALA SIYO HUYO MSICHANA HIVI ULISHAWAHI KUSIKIA UNAMPIGIA MWANAMKE TENA UNAMSHUTUMU KUTEMBEA NA MUMEO AKUJIBU HAPANA KWA MAISHA HAYA TENA ATAKWAMBIA NA JANA ALIKUWA KWANGU ILI KUWASHA MOTO.

UKIENDA HATA KWA WAZAZI WAKO WATAKUFUNGASHIA VIRAGO URUDI HUKU LABDA WAO KAMA NDIYO WALIOKWAMBIA UTAFUTE KISA AU HUYO MWANAMKE UMEMPANGA WEWE ILI UTIMIZE MIPANGO YAKO

MAISHA IS VERY SIMPLE BUT NOT EASY MY DEAR
 
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.

Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Yaani kuona Chart unadai Talaka ungewafuma wakigegedana si ndio ungekufa kabisa.....

Kama hataki kukupa talaka wewe ondoka tu.
 
Upo speed kama rocket mama... embu tuliza akili ,punguza hasira ,halafu fikiria future ya mwanao ... halafu jua nafasi yako kama mama ..

Mchepuko ni temporary tu huwa hawakai kama mke ukisimama imara katika ndoa yako.. usikubali mtu kuchukua haki yako kisa tu mwanamke asiyejua thamani yake...

Omba pesa za matumizi kwa upole na upendo na usigusie ujinga wake. Biblia imesema aziniye na mwanamke hana akili.. sasa mumeo kama anazini huko jua hana akili na usipokuwa na akili mwanao anahali ngumu

Si mama imara Sali , Weka malengo katika maisha yenu, angalia mwanao.. basi .
Muhimu wakati wa kusali usijipangie adhabu we mwachie Mungu afanye ...

Lakini kama ulikuwa umeshaamua kuachana nae na ulikuwa unatafuta sababu okey mama endelea tu kumfokonyoa ..
 
Pole mkuu kuna taratibu za kisheria na kidini za kufuata.Ikibidi hadi mahakamani watu huwa wanakwenda na taraka inatoka.Ila nadhani mngefanya maongezi ya kidplomasia kwanza taraka iwe suluhisho la mwisho kabisa
 
kwnini lakini unakubali kupigwa na ww mamy k?/yaan ajispoil na mademu na bado akupige?naja pm aic nikupe mambinu huko,masuala ya kupigwa yalikuwa kwa bibi zetu aic,tena mwambie kbs sitak unipige siku akikupihga nenda dawat la jinsia fastaaa wanaenda kumbeba
Nyie ndio mnaobomoaga ndoa za wenzenu. Akishaenda huko dawati la jinsia kitakachofuata ni nini? Mbona wewe Mr Air alipowehuka hukumpeleka huko dawati la jinsia?.Angalia namna nyingine ya kumshauri.
 
Dada pole sana ila Naomba nikuulize kitu..

Uliolewa kwa kutumia masharti ya Mganga wa Kienyeji? au Kuna Kitu tofauti na Hicho? Uliolewa kwa ajili ya Kuondoa Mkosi ukooni mwenu? Una Umri gani wa Kuzaliwa? Yaani Kuchati tu... Hivi nyie viumbe wa siku hizi mumetoka Ubavuni mwa Wanyama kama Mapaka hata Paka ana Roho Saba hapana , Nini Hasa. Nashindwa hata kukuelewa.

Nikushauri nenda nyumbani katulize hizo hasira za kipumbavu...

Umemkuta anachati na Msichana unataka Talaka. Na ulaniwe.

hahahahahhha hujui tu uchungu alionao huyu dada we endelea tu kuhis kaolewa kuondoa mikosi,ndo maana wanawake tunaMUAGA KUBADILIKA MAZIMA ALAF MNAANZA KUJA KULIA LIA hapa huyu mdada akishaweza kujiontrol hasira zake akawa anadharau kila kitu kwa mmewe ,ss hv mumewe ataanza kulia lia oh umebadirika kuna mtu anakudanganya kumbe hamjui chanzo ni nyinyi hapo,
 
Upo speed kama rocket mama... embu tuliza akili ,punguza hasira ,halafu fikiria future ya mwanao ... halafu jua nafasi yako kama mama ..

Mchepuko ni temporary tu huwa hawakai kama mke ukisimama imara katika ndoa yako.. usikubali mtu kuchukua haki yako kisa tu mwanamke asiyejua thamani yake...

Omba pesa za matumizi kwa upole na upendo na usigusie ujinga wake. Biblia imesema aziniye na mwanamke hana akili.. sasa mumeo kama anazini huko jua hana akili na usipokuwa na akili mwanao anahali ngumu

Si mama imara Sali , Weka malengo katika maisha yenu, angalia mwanao.. basi .
Muhimu wakati wa kusali usijipangie adhabu we mwachie Mungu afanye ...

Lakini kama ulikuwa umeshaamua kuachana nae na ulikuwa unatafuta sababu okey mama endelea tu kumfokonyoa ..
THE FIRST COMMENT BLESSING MWANAMKE MWENZIO KATIKA HALI HII.. SHE IS TO FAST AND SPEED? YOUR LAST SENTENCE IMEONGEA VIZURI SANA... LAKINI KAMA ULIKUWA UMESHAAMUA KUACHANA NAE NA ULIKUWA UNATAFUTA SABABU GOO AHEAD. ACHA KUTUJAZIA THREAD ZA AJABU WAKATI TUNAJIANDAA KWENDA KANISANI
 
Nyie ndio mnaobomoaga ndoa za wenzenu. Akishaenda huko dawati la jinsia kitakachofuata ni nini? Angalia namna nyingine ya kumshauri.
HUYU MRS AIR HANA UANAKE UTAKUTA HATA NDOA HAIJUI SHE HOPELESS YAANI .. ATI KUPIGWA ATI MIMI SIJAPIGWA.. DONT PUT YOUR LIFE STYLE TO SOMEONE LIFE.. KWA HIYO UNAPENDA AKIMBILIE HUKO.. HAJAFIKIRIA MTOTO, HAJA FIKIRIA LEGACY YA MIAKASABA
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Nyie ndio mnaobomoaga ndoa za wenzenu. Akishaenda huko dawati la jinsia kitakachofuata ni nini? Angalia namna nyingine ya kumshauri.

hebu nisome kwa umakini hv siku ampige amvunje kiungo unahis ni hasara ya nan hapo km si ya wote,unahsira nenda bar kakae na marafk mihasira yako itaisha sio kuja kupiga piga mkeo
 
hahahahahhha hujui tu uchungu alionao huyu dada we endelea tu kuhis kaolewa kuondoa mikosi,ndo maana wanawake tunaMUAGA KUBADILIKA MAZIMA ALAF MNAANZA KUJA KULIA LIA hapa huyu mdada akishaweza kujiontrol hasira zake akawa anadharau kila kitu kwa mmewe ,ss hv mumewe ataanza kulia lia oh umebadirika kuna mtu anakudanganya kumbe hamjui chanzo ni nyinyi hapo,

MAMA NI BORA UNGEKAA KIMYA ILA ULIMI WAKO HAUNA BARAKA NA SIYO WA MSAADA KABISA CHUKUA KIOO FIKIRIA MTOTO ...CHAT IMEFANYA NINI.. HUMU JUZI KUNA MDAU ALILETA MAADA YA WANAWAKE WANA MDOMO MCHAFU YOU ARE AMONG OF THE WOMAN WITH SPOIL MOUNTH
 
hebu nisome kwa umakini hv siku ampige amvunje kiungo unahis ni hasara ya nan hapo km si ya wote,unahsira nenda bar kakae na marafk mihasira yako itaisha sio kuja kupiga piga mkeo
SIJAONA WAPI MAMA K AMESEMA AMEPIGWA...
 
HUYU MRS AIR HANA UANAKE UTAKUTA HATA NDOA HAIJUI SHE HOPELESS YAANI .. ATI KUPIGWA ATI MIMI SIJAPIGWA.. DONT PUT YOUR LIFE STYLE TO SOMEONE LIFE.. KWA HIYO UNAPENDA AKIMBILIE HUKO.. HAJAFIKIRIA MTOTO, HAJA FIKIRIA LEGACY YA MIAKASABA

we hebu nisome nimemwambia afanye yake na asishike simu ya mume for the sake of her family,sijamwambia aondoke,ila suala la kumpiga ni big no,tuwe wakweli mm mwenyewe nimeona sionishu kumkuta na sms za mwanamke lakin nimemwambia aangalie familia yake asiacxhe kutimiza majukumunyakenunajiita akili unazokumbe hopeless kbs mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
hahah
MAMA NI BORA UNGEKAA KIMYA ILA ULIMI WAKO HAUNA BARAKA NA SIYO WA MSAADA KABISA CHUKUA KIOO FIKIRIA MTOTO ...CHAT IMEFANYA NINI.. HUMU JUZI KUNA MDAU ALILETA MAADA YA WANAWAKE WANA MDOMO MCHAFU YOU ARE AMONG OF THE WOMAN WITH SPOIL MOUNTH

ahahha i iwsh unijue maskin ya MUNGU sipend kumuona mwanamke mwanamke anapigwa thts all,na huo mdomo mchafu sn ht chembe ya uzaramo pole sn
 
Dada yangu kua na subra tu kwa sabb hajajijua mmeo alifanyalo lkn ipo siku atalijua
Jambo lakutaka talaka ni jambo zito saaana dadangu,we mwangalie tu tena akinuna ww ndo cheka sasa,ipo siku atakuja kujijutia ivi ivi
Leo utaomba talaka ikipewa hao hao mashoga wasimbe wataanza kupiga ngoma na shangwe kibao
 
Mumeo ana akili sana! Anataka uhakika kama kweli unaitaka hiyo talaka au unabeep....
Lakini kwa mimi nisingechelewa,naheshimu sana maamuzi ya wanawake.
 
hahah

ahahha i iwsh unijue maskin ya MUNGU sipend kumuona mwanamke mwanamke anapigwa thts all,na huo mdomo mchafu sn ht chembe ya uzaramo pole sn

Wanasema Mwizi siyo Yule anayeiba ila yule anayezuiwa kuiba ndiyo Mwizi... Utakuja Kunielewa.. Just a Chatting Povu Juu then unataka na Talaka. Mrs Air love to reserve Words, Kuna vitu zaidi ya hiyo Chat kwa huyo Mwanamke unayemuonea huruma.

Nipo Hapa simujui , na sitarajii , Nipo hapa sikujui na sitarajii kukujua. That mistaken cannot amount the reward anayoidai huyo Mwanamke.

Mrs Air wewe ni nyoka hata kama umejipambanua kuwa you are not, but wewe ni Nyoka tena Mbaya sana. Hujui Muda gani wa kuongea nini na wakati Gani wa kusema kitu gani.

Huwezi kuta kuna mtu amegongwa anaumilia maumivu halafu ufike usema umeshakufa ilihali bado anajihi kuwa mzima useme wewe ni Understanding Woman.
 
kwnini lakini unakubali kupigwa na ww mamy k?/yaan ajispoil na mademu na bado akupige?naja pm aic nikupe mambinu huko,masuala ya kupigwa yalikuwa kwa bibi zetu aic,tena mwambie kbs sitak unipige siku akikupihga nenda dawat la jinsia fastaaa wanaenda kumbeba
Mpe kiburi halafu baada ya talaka akose mwelekeo wa maisha huanze kumcheka mbn ulishindwa kuvumiliaa
 
Back
Top Bottom