CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,862 Apr 15, 2017 #21 stable woman said: Duh mleta mada unaonyesha una malengo sema kipindi cha uchumba sio committed sana heri umuoe kabisa ndio mtaweza kuthibiti vizuri! Click to expand... Ni kweli kabisa kipindi cha uchumba sio cha kufanya comirment za kifedha. Wengine wamelizwa. Oa kwanza then pangeni matunizi ya kipato chenu.
stable woman said: Duh mleta mada unaonyesha una malengo sema kipindi cha uchumba sio committed sana heri umuoe kabisa ndio mtaweza kuthibiti vizuri! Click to expand... Ni kweli kabisa kipindi cha uchumba sio cha kufanya comirment za kifedha. Wengine wamelizwa. Oa kwanza then pangeni matunizi ya kipato chenu.
molwe JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 425 Reaction score 456 Apr 15, 2017 #22 Haaahaaaa! Huyo mjanja! Kwenye ndoa watu wanadhurumiana! Sembuse uchumbaa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haaahaaaa! Huyo mjanja! Kwenye ndoa watu wanadhurumiana! Sembuse uchumbaa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,861 Reaction score 172,519 Apr 15, 2017 #23 Umempa madaraka ya kulevya, atakuwa kama bashite huyo
The Hidden JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 246 Reaction score 102 Apr 16, 2017 Thread starter #24 galindas said: Mchumba unamfungulia biashara,? Muda si mrefu utaanza kuongea peke yako. Hao watu usiwaamini ndugu. Click to expand... Duh
galindas said: Mchumba unamfungulia biashara,? Muda si mrefu utaanza kuongea peke yako. Hao watu usiwaamini ndugu. Click to expand... Duh