Hataki kabisa tutumie Condom

Hataki kabisa tutumie Condom

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Habari wadau,

Kuna msichana nimeanzisha nae uhusiano takribani sasa tunaenda mwezi wanne kama si watano.

Kiukweli huyu msichana ananivutia kwa kila alichonacho na barikiwa na Mungu ila tatizo lake ni moja tu,tukianza kunanii hataki kabisa tutumie condom na muda mwingine huwa anafikia kukataa kabisa kunanii.

Nimejaribu kumshaur kwa njia tofauti tofauti na ameishia kunipinga na hata muda mwingine huondoka kwangu kwa hasira.

Kiukweli mimi kama mimi huwa nahifadhi box za kutosha na huwa nikipata emergency huwa zinanisaidia sana kuliko kukimbia dukani.

Wadau naombeni mnishauri nifanyeje maana ndiyo nimenanii nae zaid ya mara 30 kwa condom, lakini nahisi mapenzi yanaanza kwenda kuchuja.

Karibu tafadhali
 
Kama nae yupo JF mwambie nae atume Uzi wake wakutueleza kuwa boy wake(wew)anang'ang'ania atumie condom.Huenda kwenye Uzi wake atatueleza kwann hatak utumie condom mana wew umeshindwa kumuuliza sabab
 
Kuku kapanda baiskel bata kavaa laizon..... hapo mtu amewaka anataka akulipue na wewe.. toka nduki..
 
Issa ramadhan katika ubora wake ...
Kwema mkuu ??? Ndeneni Mkapime walau Mara Tatu Kuondoa sintofaham Inayokufanya Utumie Kinga
 
Last edited by a moderator:
miezi minne mmekulana mara 30!!!!!!!

Miezi minne ni siku 120 kwa kadirio la siku 30 kwa mwezi. 120/30 = 4 so jamaa kwa wastani anagonga kila baada ya siku other issue remain constant nadhani inawezekana ingawa kama angekuwa mwanandoa wake ingesound vizuri zaidi ila kama wanaishi mbalimbali watakuwa wamezidisha dozi sana
 
Huenda hana maambukizi yotote ila anakataa condom kwa sababu hasikii raha yoyote una muumiza tu unajua condom nayo kuitumia inataka moyo mkuu kama vipi niungnishe nae mie nipo tayari kupiga dry condom michosho tu haina raha yoyote we unafanya kwa condom harafu unajikojolea mwenyewe sasa raha iko wapi kitu kojoa kimfikie mlengwa sio unajikojolea mwenyewe kwenye mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom