Hatakagi ujinga

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
1,311
2,301
Mambo hayo
FB_IMG_15369157380810646.jpg
 
Faida kwa muuza chipsi, hivi angetoa msimbazi si angebakiwa na 40,000. Kuna wanaume wa maajabu sana. Kwahio kamkomoa ex-wake au mfuko wake??


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kwenye hii dunia usije kubali ule usemi wa kwenye bible, "ati ukipigwa shavu la kushoto geuza na kulia"mtu akikupiga banzi we mgonge nakozi za kutosha kwani nini bwana?
 
Back
Top Bottom