Hata wewe inaweza kukutokea

Hahhahahaaaa hii ilikuwa tax isiyo na kiyoyozi
 
Usihisi kutishwa. Si unauhakika na uzi wako?. Cha msingi jiandae na proof, that's all.
You can just go to hell...! That's what at least I can tell you for now..! Ati nijiandae
umeambiwa huu ni mtihani wa darasa la saba? Au moko ya sekondari?
 
Uko sahihi mkuu, ishu ya Lipumba inafanana mno na ishu ya vijana hasa wasanii maarufu ambao hukubali kufadhiliwa na madon wauza unga...kwanza watakupa range, pili watakupa nyumba au kukupangia nyumba nzuri na watakupeleka London na miji mingine mikubwa ya Ulaya na Marekani....hapo utakuwa umenasa na ikifikia hatua hiyo watakwambia tuna mzigo tunataka uende nao China au South Africa au popote na ole wake kijana akikataa wanakula shingo yake...ndicho kilichomtokea Lipumbavu...asingeweza kula hela ya kitengo iliyoibwa kupitia Lugumi hivihivi, lazima afanye kazi na akigoma watakula kichwa chake!
 
Imagine saa hii yuko ndani ya zile ofisi ana hana uhuru wa kufanya atakalo, yuko na fazaa na jana privacy
 
idawa aidha hukunielewa au hujui au una agenda yako kwa ajili ya kujifurahisha na kujipa nafuu ya roho
 
Mambo mawili, either kahongwa na anatumiwa au kachanganyikiwa akili. Kwasababu amechukua hatua mbili ambazo hazifanani kabisa kimantiki. Kwanza aliachia madaraka kwa hiari yake. Halafu sasahivi mtu huyohuyo yupo tayari kupambana hata kwa kung'ata mtu sikio na meno kushikilia madaraka hayohayo aliyoyaachia kwa hiari yake hapo awali. Hapo unaona kabisa kuna kitu siyo cha kawaida.
 
Clearly, professor Lipumba is now a troublemaker. Hakuna kitu chochote anachokifanya sasahivi chenye tija kwa taifa. Tena kama mchumi, anatakiwa ajue kuwa hivi sasa matendo yake yanaingiza hasara kwa nchi kiuchumi, kwa garama ya maskini walio wengi walipa kodi.
 
Duuuuu leprofesel Mijasho bila shaka hana hata Gar huyu Babu
 
Kuna mahali nimefika nimeamua kuamini kuwa pengine Prof . anaumwa
 
Post yako watajifanya hawajaiona. Mkuki kwa kitimoto huu kiongozi. You just said the truth. Hakuna mkate mgumu kwa chai, ndio maana gia na direction zilibadilishwa angani!!!
 
Mniombeee kweli jamani, nikiona tu pesa akili inajifomati yote.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa anachofanya'' Bwana yule'' si hiari yake ila kakubali kuwa mtumwa hana jinsi,chezea kitu ingine ila sio mkwanja na kwa usawa huu acha kabisaa.


Hahahaaaaa..."Bwana yule"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…