asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Nadhani umekosea na hujui wanyama dume yupi na jike yupi,hakuna hata mnyama mmoja anaeweza kumuingilia mnyama mwenzake wa jinsia moja,na hakuna wala hutawaona,huyo mbwa uliomkuta anaingiliwa ni mbwa jike huyo ,hakuna wala haitatokea
Sasa hapa tudiskasi jambo gani??
Sijui ndiyo zama za mwisho zimefika au ndiyo utandawazi umeingia mpaka kwa wanyama ,hapa kuna mmbwa watatu (3) dume wanafanya vitendo vya ushoga na wanakichangia kimoja mpaka kinalia
Wanyama wakisagana hahahahahah
Mmmh!! sasa si tutaonekana akili zetu ndogo jamani...
Hahahaha hii ndo JF kumbuka, imebeba kila aina, utaletaje mada kama hii eti ijadiliwe?
Hahaha...haya mpendwa nadhani kashaelewa
Hope amekoma
Mie nahangaika kupangua sahani zote kabatini...nilikua nimezipanga kwa kupandiana...
Kazi zote ukifanya wewe na wengine wafanye nini?acha kutubania vibarua hivyo bwanaaaaaa