Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,955
Mh!Kweli muumba wa nchi ni muumba wa viumbe vyote!
Teh teh teh,atakuwa anafurahia wingi wa matunda pori!hapo ndio kwanza kumekucha...anaomba mkate wa kila siku ushushwe mezani
Au akitishiwa mwisho wa dunia umekaribia!Tena wanyama ni naturally very appreciative, tofauti na binadamu anaefanya hivyo akikumbuka